Mkeka wa sheikh Yahya naona unaenda vizuri kabisa bado haujachanika

Bando la wiki

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2023
Posts
911
Reaction score
3,017
Screenshot_20250122-151310.jpg

Hongera TUNDU LISSU, safari ya kwenda Ikulu ianze sasa.
Screenshot_20250122-153827.jpg

Mbinu za maangamizi;
  • 1. Mobilization ya vijana hasa wapiga kura ianze kwa haraka sana.
  • Hii ni pamoja na kuandikisha wanachama wapya wengi ambao walipoteza matumaini juu ya upinzani wa Tanzania.
  • Lakini pia imiza vijana wengi kwenda kujiandikisha kwenye daftari la kudumu endapo litaletwa kwenye maeneo yao.

2. Chama kikuandalie ziara ya mikoa kama mitano yenye nguvu kubwa ya upinzani ili ufanye ziara huko ya kujitambulisha kama mwenyekiti mpya wa chadema. Katika mikoa hiyo napendekeza mikoa hii iwe ya Mwanzo;
  • Mwanza,
  • Mara
  • Singida
  • Arusha
  • Mbeya
  • Dar es salaam
Chadema hapa ni kucheza tu na hamasa kwa vijana ambao ndio chachu ya mabadiliko yoyote yale kwenye nchi yoyote.

Tutembee na mkeka wa shekh Yahya naona unaenda vizuri kabisa.
 
Mkuu huyu marehemu namkubali alikuwa mtabiri mashuhuri wa Afrika mashariki na kati pamoja na ulaya ltoshe kusema Nilimkubali na kumuelewa.

Ila kwa utabiri huu itakuwa vigumu kutimia. CCM hata wakiku simamisha wewe au Mimi ambaye sina jina. Au hata wamuweke kuku. Anashinda tu.

Siyo kuwa mimi ni CCM Hapana mimi nipo CHAUMA ninashabikia upinzani ili kuipa CCM changamoto isijisahau.
 
Tudai kwanza reform uone kama oktoba hawataondoka.
 
View attachment 3210179

Hongera TUNDU LISSU, safari ya kwenda Ikulu ianze sasa.
View attachment 3210183

IMG-20250122-WA0047.jpg
 
Mkuu huyu marehemu namkubali alikuwa mtabiri mashuhuri wa Afrika mashariki na kati pamoja na ulaya ltoshe kusema Nilimkubali na kumuelewa.

Ila kwa utabiri huu itakuwa vigumu kutimia. CCM hata wakiku simamisha wewe au Mimi ambaye sina jina. Au hata wamuweke kuku. Anashinda tu.

Siyo kuwa mimi ni CCM Hapana mimi nipo CHAUMA ninashabikia upinzani ili kuipa CCM changamoto isijisahau.
Wengine wanasema nature ikiamua

Wengine wanasema wakati wa Mungu ukifika

OGOPA VITU VIWILI HAPO JUU VIKIAMUA JAMBO.
hakuna binadamu awezaye kupinga
 
View attachment 3210179

Hongera TUNDU LISSU, safari ya kwenda Ikulu ianze sasa.
View attachment 3210183

Mbinu za maangamizi;
  • 1. Mobilization ya vijana hasa wapiga kura ianze kwa haraka sana.
  • Hii ni pamoja na kuandikisha wanachama wapya wengi ambao walipoteza matumaini juu ya upinzani wa Tanzania.
  • Lakini pia imiza vijana wengi kwenda kujiandikisha kwenye daftari la kudumu endapo litaletwa kwenye maeneo yao.

2. Chama kikuandalie ziara ya mikoa kama mitano yenye nguvu kubwa ya upinzani ili ufanye ziara huko ya kujitambulisha kama mwenyekiti mpya wa chadema. Katika mikoa hiyo napendekeza mikoa hii iwe ya Mwanzo;
  • Mwanza,
  • Mara
  • Singida
  • Arusha
  • Mbeya
  • Dar es salaam
Chadema hapa ni kucheza tu na hamasa kwa vijana ambao ndio chachu ya mabadiliko yoyote yale kwenye nchi yoyote.

Tutembee na mkeka wa shekh Yahya naona unaenda vizuri kabisa.
Huyo jamaa wa wabeligiji hata CCM wakisema waweke andazi ligombee dhidi yake andazi litaingia ikulu yeye ataishia kurud tu ubeligiji
 
View attachment 3210179

Hongera TUNDU LISSU, safari ya kwenda Ikulu ianze sasa.
View attachment 3210183

Mbinu za maangamizi;
  • 1. Mobilization ya vijana hasa wapiga kura ianze kwa haraka sana.
  • Hii ni pamoja na kuandikisha wanachama wapya wengi ambao walipoteza matumaini juu ya upinzani wa Tanzania.
  • Lakini pia imiza vijana wengi kwenda kujiandikisha kwenye daftari la kudumu endapo litaletwa kwenye maeneo yao.

2. Chama kikuandalie ziara ya mikoa kama mitano yenye nguvu kubwa ya upinzani ili ufanye ziara huko ya kujitambulisha kama mwenyekiti mpya wa chadema. Katika mikoa hiyo napendekeza mikoa hii iwe ya Mwanzo;
  • Mwanza,
  • Mara
  • Singida
  • Arusha
  • Mbeya
  • Dar es salaam
Chadema hapa ni kucheza tu na hamasa kwa vijana ambao ndio chachu ya mabadiliko yoyote yale kwenye nchi yoyote.

Tutembee na mkeka wa shekh Yahya naona unaenda vizuri kabisa.
Singida itoe hapo ...kulenapajua ! Labda Ikungi na Manyoni!
 
Back
Top Bottom