loliondokwetu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,376
- 1,752
Hongera TUNDU LISSU, safari ya kwenda Ikulu ianze sasa.Mbinu za maangamizi;1. Mobilization ya vijana hasa wapiga kura ianze kwa haraka sana.Hii ni pamoja na kuandikisha wanachama wapya wengi ambao walipoteza matumaini juu ya upinzani wa Tanzania.Lakini pia imiza vijana wengi kwenda kujiandikisha kwenye daftari la kudumu endapo litaletwa kwenye maeneo yao.2. Chama kikuandalie ziara ya mikoa kama mitano yenye nguvu kubwa ya upinzani ili ufanye ziara huko ya kujitambulisha kama mwenyekiti mpya wa chadema. Katika mikoa hiyo napendekeza mikoa hii iwe ya Mwanzo;Mwanza,MaraSingidaArushaMbeyaDar es salaamChadema hapa ni kucheza tu na hamasa kwa vijana ambao ndio chachu ya mabadiliko yoyote yale kwenye nchi yoyote.Tutembee na mkeka wa shekh Yahya naona unaenda vizuri kabisa.Bila katiba mpya na tume huru ya uchaguzi hili jambo kutimia itakuwa ni ndoto,naamini kukiwa na tume huru ya uchaguzi na katiba ikawa mpya sio hii ya mwenyekit wa tume kutangaza anaemtaka,lissu anashinda asubui na mapema,mama hana uwezo wa kuchuana na lissu katu katu.