View attachment 3210179
Hongera TUNDU LISSU, safari ya kwenda Ikulu ianze sasa.
View attachment 3210183
Mbinu za maangamizi;
- 1. Mobilization ya vijana hasa wapiga kura ianze kwa haraka sana.
- Hii ni pamoja na kuandikisha wanachama wapya wengi ambao walipoteza matumaini juu ya upinzani wa Tanzania.
- Lakini pia imiza vijana wengi kwenda kujiandikisha kwenye daftari la kudumu endapo litaletwa kwenye maeneo yao.
2. Chama kikuandalie ziara ya mikoa kama mitano yenye nguvu kubwa ya upinzani ili ufanye ziara huko ya kujitambulisha kama mwenyekiti mpya wa chadema. Katika mikoa hiyo napendekeza mikoa hii iwe ya Mwanzo;
- Mwanza,
- Mara
- Singida
- Arusha
- Mbeya
- Dar es salaam
Chadema hapa ni kucheza tu na hamasa kwa vijana ambao ndio chachu ya mabadiliko yoyote yale kwenye nchi yoyote.
Tutembee na mkeka wa shekh Yahya naona unaenda vizuri kabisa.