Bando la wiki
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 911
- 3,017
- Thread starter
- #41
Kuwa na imani mzee hao jamaa wanachapwa na kila kitu ni chao.Mwenyewe natamani sana iwe hivyo, Ila siku ya uchaguzi ikifika.....
TUME ni ya kwao
POLISI ni wa kwao
MGOMBEA CCM huyohuyo ndiye boss wao
Nikiwaza hivyo, nachoka kabisa.
Mfano simple, leo mkutanoni mkuu ulidhaminiwa na FAM, lakini pia FAM alikuwa ana sapotiwa na serikali ndio maana polisi wamezinguka hapo usiku mzima. Lakini FAM Amechapwa na kirahisi tu.
Huwezi kushindana na wakati