Bando la wiki
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 911
- 3,017
- Thread starter
-
- #41
Kuwa na imani mzee hao jamaa wanachapwa na kila kitu ni chao.Mwenyewe natamani sana iwe hivyo, Ila siku ya uchaguzi ikifika.....
TUME ni ya kwao
POLISI ni wa kwao
MGOMBEA CCM huyohuyo ndiye boss wao
Nikiwaza hivyo, nachoka kabisa.
Ndomana hata huo uchaguzi hatutoshiriki oktoba mkibaki na tume zenu maana vyama vingi havina maana kama misingi yake inakiukwa,kwaio kwa uwazi zaidi naungana na mapendekezo ya wananchi waliowengi waliopiga kura ya tuwe na chama kimoja mwaka 1992.Muoga..... nani alikwambia unapewa nchi kupitia kipande cha karatasi....hao waliowafundisha hayo ndo wawape nchi
Nakubaliana sana na wewe mkuuKatibu mkuu abaki Mnyika. Lema apewe uenezi wa chama.
Anashinda tu Kiharamu au Kihalali ???!Mkuu huyu marehemu namkubali alikuwa mtabiri mashuhuri wa Afrika mashariki na kati pamoja na ulaya ltoshe kusema Nilimkubali na kumuelewa.
Ila kwa utabiri huu itakuwa vigumu kutimia. CCM hata wakiku simamisha wewe au Mimi ambaye sina jina. Au hata wamuweke kuku. Anashinda tu.
Siyo kuwa mimi ni CCM Hapana mimi nipo CHAUMA ninashabikia upinzani ili kuipa CCM changamoto isijisahau.
Kwani hadi leo na utu uzima huo unadhani kuna siasa za vyama vingi huku? Mengine geresha tu ili pesa za wazungu ziliwe.......hii nchi sio kama Kenya yenye mizizi ya ubepariNdomana hata huo uchaguzi hatutoshiriki oktoba mkibaki na tume zenu maana vyama vingi havina maana kama misingi yake inakiukwa,kwaio kwa uwazi zaidi naungana na mapendekezo ya wananchi waliowengi waliopiga kura ya tuwe na chama kimoja mwaka 1992.
Ndomana cdm wametangaza "no reform no election "Kwani hadi leo na utu uzima huo unadhani kuna siasa za vyama vingi huku? Mengine geresha tu ili pesa za wazungu ziliwe.......hii nchi sio kama Kenya yenye mizizi ya ubepari
No election kwao, huku CCM wataendelea kupeta tu Samia mpaka 2030Ndomana cdm wametangaza "no reform no election "
Sio kirahisi hivyo ndoama covid 19 walilazimishwa wawe wabunge wa viti maalum.No election kwao, huku CCM wataendelea kupeta tu Samia mpaka 2030
Unadhani kwa sasa hata Zito atakataa hizo nafasi ?Sio kirahisi hivyo ndoama covid 19 walilazimishwa wawe wabunge wa viti maalum.
yaani hata utabiri ukidondokea humohumo,siwezi kukubali nafsi yangu iambatane na hili chawi.View attachment 3210179
Hongera TUNDU LISSU, safari ya kwenda Ikulu ianze sasa.
View attachment 3210183
Mbinu za maangamizi;
- 1. Mobilization ya vijana hasa wapiga kura ianze kwa haraka sana.
- Hii ni pamoja na kuandikisha wanachama wapya wengi ambao walipoteza matumaini juu ya upinzani wa Tanzania.
- Lakini pia imiza vijana wengi kwenda kujiandikisha kwenye daftari la kudumu endapo litaletwa kwenye maeneo yao.
2. Chama kikuandalie ziara ya mikoa kama mitano yenye nguvu kubwa ya upinzani ili ufanye ziara huko ya kujitambulisha kama mwenyekiti mpya wa chadema. Katika mikoa hiyo napendekeza mikoa hii iwe ya Mwanzo;
Chadema hapa ni kucheza tu na hamasa kwa vijana ambao ndio chachu ya mabadiliko yoyote yale kwenye nchi yoyote.
- Mwanza,
- Mara
- Singida
- Arusha
- Mbeya
- Dar es salaam
Tutembee na mkeka wa shekh Yahya naona unaenda vizuri kabisa.
Kanda ya ziwa nayo upinzani umeamka nowadays.View attachment 3210179

ZZK kwenye hili na wao wataliunga mkono maana ni mtu mwelewe ukiacha propaganda za watu tuu,hata wasipoliunga mkono kwa siasa za Tz bila CDM kama chama kikuu cha upinzani ni picha mbaya kwa nchi.Unadhani kwa sasa hata Zito atakataa hizo nafasi ?
Umemuona yule mwenzenu wa msumbiji alijua wazungu watasaidia ila kwa sasa ameanza mwenyewe kujipendekeza.....bongo wanasiasa njaa nyingi hakuna linaloshindikanaZZK kwenye hili na wao wataliunga mkono maana ni mtu mwelewe ukiacha propaganda za watu tuu,hata wasipoliunga mkono kwa siasa za Tz bila CDM kama chama kikuu cha upinzani ni picha mbaya kwa nchi.
OyoooView attachment 3210179
Hongera TUNDU LISSU, safari ya kwenda Ikulu ianze sasa.
View attachment 3210183
Mbinu za maangamizi;
- 1. Mobilization ya vijana hasa wapiga kura ianze kwa haraka sana.
- Hii ni pamoja na kuandikisha wanachama wapya wengi ambao walipoteza matumaini juu ya upinzani wa Tanzania.
- Lakini pia imiza vijana wengi kwenda kujiandikisha kwenye daftari la kudumu endapo litaletwa kwenye maeneo yao.
2. Chama kikuandalie ziara ya mikoa kama mitano yenye nguvu kubwa ya upinzani ili ufanye ziara huko ya kujitambulisha kama mwenyekiti mpya wa chadema. Katika mikoa hiyo napendekeza mikoa hii iwe ya Mwanzo;
Chadema hapa ni kucheza tu na hamasa kwa vijana ambao ndio chachu ya mabadiliko yoyote yale kwenye nchi yoyote.
- Mwanza,
- Mara
- Singida
- Arusha
- Mbeya
- Dar es salaam
Tutembee na mkeka wa shekh Yahya naona unaenda vizuri kabisa.
Wazalendo hatutaki machafuko hata kidogo,tunataka tudai jambo lililopendekezwa na tume ya jaji nyalali kabla ya kuanza kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.Umemuona yule mwenzenu wa msumbiji alijua wazungu watasaidia ila kwa sasa ameanza mwenyewe kujipendekeza.....bongo wanasiasa njaa nyingi hakuna linaloshindikana
Haya endeleeni na mipangoWazalendo hatutaki machafuko hata kidogo,tunataka tudai jambo lililopendekezwa na tume ya jaji nyalali kabla ya kuanza kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.
Hii sio sisi wala wao hii hata wewe unahusika.Haya endeleeni na mipango
Mie CCM mbele kwa mbeleHii sio sisi wala wao hii hata wewe unahusika.
Kama unafaidika kwa chochote kutoka huko Sawa baki na ubinafsi wako wewe na familia yako maana pia ni jambo zuri kwako.Mie CCM mbele kwa mbele