Mkemia Mkuu: Mkojo wa Wema Sepetu ulikuwa na bangi

Sasa tutajuaje kama kweli huyo mkemia mkuu bangi aliikuta kwenye mkojo?

Huyo mkemia tunataka atuambie hiyo bangi wema alikua anavuta au ana kula na aliikutaje kwenye mkojo.
Kama ulikwepa shule sasa watu watakusaidiaje mzee. Rudi shule utajua kwa nini mkojo umepatikana na bhangi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
waliitwa kujisalimisha na kukiri.
Walioitikia ni wachache...waliokataa ni wengi.

Usijidai msahaulifu!
 
Sasa tutajuaje kama kweli huyo mkemia mkuu bangi aliikuta kwenye mkojo?

Huyo mkemia tunataka atuambie hiyo bangi wema alikua anavuta au ana kula na aliikutaje kwenye mkojo.

Asiyejua ni mjinga aelimishwe, ila mashaka yangu ni kwa asiyetaka kujua...
 
yani ofisi ya mkemia mkuu badala ya kupima hayo ma 'yuraniam' na kuyarutubisha ili siku moja tuanze kuzungumzia habari kama za korea kaskazini ipo bize kupima taka mwili...!!!???
Mikojo ya kina mama...shame
 
Duh., now days watu wanapewa varieties of KIKI, hadi mkojo?
Ama kwa hakika chini ya Yohane tutaona mengi.
 
Who is Wema kuhangaika na mkojo wake?!. Hivi hatuna kazi za maana kuzifanya hapo kwa mkemia. Au shida ni cdm?!,
 
sasa kila siku mkojo ndio habari ,,,,,tumeichoka na yule teja mbona aliachiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…