Mkemia Mkuu: Mkojo wa Wema Sepetu ulikuwa na bangi

Mkemia Mkuu: Mkojo wa Wema Sepetu ulikuwa na bangi

Kwa akili za hawa watu wanajiita Chadema, za kutetea kila jambo, bora kumuunga mkono hata Mrema.Hawa vijana wengi nadhani ni mabadhite/ vilaza sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hii mikojo inawasilishwa mahakamani kama kielelezo? Kazi kweli kweli.
 
Huko nako kushakuwa kitengo cha kuthibitishia propaganda za upande wa uteuzi! Na mhuri wa kukandamiza wasiotakiwa kwa misingi ya visasi! Hakuna weledi wa kazi tena
 
Naweza kuamini hasa ukizingatia hii kauli aliyoitoa hivi karibuni!
 
Kazi kweli kweli.... Na rais wa N.Korea anawahimiza raia wake walime bangi kwa wingi...
 
Hivi Mbona CCM wanapenda mikojo sana?
 
Back
Top Bottom