Heci
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 3,591
- 6,114
Alikuwa anachepukaKwa hyo roho mtakatifu kaamua aha lalishe mzigo baada ya miaka 20
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa anachepukaKwa hyo roho mtakatifu kaamua aha lalishe mzigo baada ya miaka 20
Mkuu unawajua WAPOKOTI??Ng'ombe 22 na mbuzi 15 kwa ajili ya mbunye tu? Huyu jamaa akili yake haiko sawa, wacha tu achapiwe Hadi atie dispilini
InafikirishaDah Kumbe siku hizo roho mtakatifu amechoka kua single
Kwa kweli kabisaHuyu shangazi amekufuru
Hawa ndio wanajua thamani ya TukuyuMkuu unawajua WAPOKOTI??
Hawa na wafugaji by nature kama wamasai na wasukuma
Unataka kumuoa mke wa roho?Hehehe unachekesha bana...
Aje nimuoe mama wa watu huyo kama hapati huduma kutoka kwa mumewe.....
Dhambi yake haisamehekiHuyu shangazi amekufuru
Raha jipe mwenyeweHaya maisha matamu sana
Unataka kumuoa mke wa roho?
Mjegejo humtuliza mama nyumbaniHuyo ana njaa na kiu cha kutembezwa dushe, hamna kingine kinamsumbua.....mwanamke akiwa na minyege halafu umnyime shughuli akili humhama, angalia sana hata kwa mkeo ukimuona ana visirani na makelele yasiyo na mashiko, haeleweki eleweki hara aibu hili, halijaisha aparamie lingne, wewe jiandae mida ya jioni muombe akikupa umtie ile balaa, nakuhakikishia hizo vurugu zake zitaisha, alfajiri atakuandalia supu na kuongea kistaarabu sana.
Tunasubiri katotoKenyans as always vituko haviishi......lakini hapo pasta amejipatia mzigo kilaini sana na jamaa amepigwa sanaa kindezi sana
[emoji38]Ulokole ukizidi unakuwa ni ukichaa
Kwani si vitabu takatifu vyote hupenda kusema binadamu ameumbwa kwa mfano(image) ya mwenyezi Mungu.
Hahaa ana kesi nzito ya kujibu kama PauloHuyo mchungaji alienunua gauni la harusi na kugharamia kila kitu ni mwanaume? Kama ni mwanaume kuna kaharufu nakahisi kwa mbaaali kanakuja na kupotea
Duh hii dunia......
#Taarifabilamipaka
Elizabeth Nalem mwenye umri wa miaka 41 ambaye ni afisa wa mji wa Makutano Pokot Magharibi nchini Kenya, amewashangaza wengi baada ya kutangaza kuwa amefunga ndoa na Roho Mtakatifu.
Harusi hiyo iliyoandaliwa kwenye hoteli ya Chelang’a mjini Makutano ilihudhuriwa na wapambe wa Bi harusi huyo na kuongozwa na Kasisi Albert Rumaita wa kanisa la Full Gospel.
Akiwa amepambwa kwa mavazi rasmi ya harusi mwanamke huyo mwenye watoto sita alikula kiapo cha kumpenda na kumtumikia huyo mumewe mpya (roho mtakatifu) maisha yake yote
Mumewe aliyefahamika kama Joshua Nalem alikuwa ni kati ya mashuhuda wa harusi hiyo alipoulizwa alisema haamini kama mkewe aliyeishi naye kwa miaka 20 angefanya tukio kama hilo.
“Nimeshangaa sana. Nilitoa mahari; ng’ombe 22 na mbuzi 15 nilipooa mke wangu. Lakini sasa anafunga ndoa na mume mwingine anayedai kuwa roho mtakatifu,” alisema bwana huyo.
Bi harusi mwenyewe amesema
ametumikia dunia tangu alipozaliwa. Lakini sasa roho mtakatifu amemuagiza amtumikie Mungu.
"Roho Mtakatifu alinituma kwa Pasta Rumaita ambaye alininunulia vazi la harusi, aliandaa hafla hii na akakodisha magari yaliyotuleta haba,” akasema Bi Nalem.
Elizabeth alikiri kuwa kabla ya kuandaa sherehe hiyo iliyotawaliwa na vigeregere na nderemo nyingi aliomba ruhusa kwa mumewe ambaye alikataa jambo hilo.
View attachment 1850312