Mkenya adai kuolewa na Roho Mtakatifu

Ng'ombe 22 na mbuzi 15 kwa ajili ya mbunye tu? Huyu jamaa akili yake haiko sawa, wacha tu achapiwe Hadi atie dispilini
Mkuu unawajua WAPOKOTI??

Hawa na wafugaji by nature kama wamasai na wasukuma
 
Za kuambiwa changanya na za kwako, huyo anolewa na mchungaji wake kwa kivuli cha roho mtakatifu...

Muda sii mrefu atarudi na ushuhuda jinsi paster anavyomtesa kwenye ndoa aliyofunga nae...
 
Unataka kumuoa mke wa roho?

Huyo ana njaa na kiu cha kutembezwa dushe, hamna kingine kinamsumbua.....mwanamke akiwa na minyege halafu umnyime shughuli akili humhama, angalia sana hata kwa mkeo ukimuona ana visirani na makelele yasiyo na mashiko, haeleweki eleweki aibue hili, halijaisha aparamie lingne, wewe jiandae mida ya jioni muombe akikupa umtie ile balaa, nakuhakikishia hizo vurugu zake zitaisha, alfajiri atakuandalia supu na kuongea kistaarabu sana.
 
Mjegejo humtuliza mama nyumbani
 
Kafrican njoo uone jinsi mlivyo Mataahira.
Uzi huu usomwe na MK254 balozi wa Kenya hapa JamiiForums
Kwani si vitabu takatifu vyote hupenda kusema binadamu ameumbwa kwa mfano(image) ya mwenyezi Mungu.

Kama tuliumbwa na nyege, Upendo, Hasira, Wivu..n.k. basi Kuna uwezekano mkubwa kwamba huyo Mungu mwenyewe na viumbe vyake Wana nyege alafu ndo wakaturithisha hizo hisia. Huyu roho mtakatifu lazima ameshindwa kujizulia 🤗😶🤗
 
Huyo mchungaji alienunua gauni la harusi na kugharamia kila kitu ni mwanaume? Kama ni mwanaume kuna kaharufu nakahisi kwa mbaaali kanakuja na kupotea
Hahaa ana kesi nzito ya kujibu kama Paulo
 
Duh hii dunia......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…