Kwani si vitabu takatifu vyote hupenda kusema binadamu ameumbwa kwa mfano(image) ya mwenyezi Mungu.
Kama tuliumbwa na nyege, Upendo, Hasira, Wivu..n.k. basi Kuna uwezekano mkubwa kwamba huyo Mungu mwenyewe na viumbe vyake Wana nyege alafu ndo wakaturithisha hizo hisia. Huyu roho mtakatifu lazima ameshindwa kujizulia 🤗😶🤗