Ghost Worker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 1,412
- 1,864
Wewe jina lako tayari ni la kichina, unapayukwa nini hapa?Wakenya endeleeni ku download utumwa mambo leo..
Kwani nyinyi mumetushinda kiuchumi au hata kimasomo? Wacha kuota mchama mzee.kiukweli wakenya wametuacha mbali sana kwa ubwege kimaisha, hongera wakenya, na MUNGU ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika isipokuwa vilaza wa Kenya
Hao haki za binaadamu utawasikia wanapiga kelele na kuripoti BBC yakiguswa maslahi ya Mzungu...sijui tumelongwa na nani sisi weusi.Mtanzania mwenzangu yoyote anayechekelea huu upuuzi kisa umemtoka mkenya basi ni mpumbavu. Huu ni ubaguzi dhidi ya watu weusi na nimeshindwa kuona jambo lolote la kufurahisha hapo. Halafu hutasikia haki za binadamu wa kiafrika wakiongelea hili.
Hio ni njia mojawapo ya kuvutia uwekezaji.Watajisifu hata kwa hili tukio. Eti wamekuwa waafrika wa kwanza kuchapwa viboko na wachina, duh.
Sasa mbona unatoa hukumu wakati polisi walikanusha kufanya hicho kitendo na kesi ilipelekwa mahakamani?, hakuna mwenye uhakika kwasababu hizi ni shutuma hatujaona video kama ilivyo katika hili la Kenya.Wala usibadilishe gear! Unataka kutorokea kwa POLICE BRUTALITY? Hahaa.. Nilijua hutakosa kuleta pumba!
Vijana hawa walikuwa watuhumiwa ni sawa nitakubaliana nawe, but is this how your police treat suspects?
Kutumika na WACHINA kuwadhulumu watu weusi kama wao hadi kuwaamrisha kulawitiana? Upuzi kama huu ukifanyika pahali popote Afrika inaniuma!Black people let's wake up!!!
Halafu ni kama hiyo kuchapwa ni utaratibu wa kila wanapo chelewa πππSasa mbona unatoa hukumu wakati polisi walikanusha kufanya hicho kitendo na kesi ilipelekwa mahakamani?, hakuna mwenye uhakika kwasababu hizi ni shutuma hatujaona video kama ilivyo katika hili la Kenya.
Lakini hata kama itathibitika kama ni kweli, hilo litakua ni kosa la polisi wa Tanzania kuwanyanyasa watanzania, tofauti na mchina kumpiga viboko mkenya, baba zima halijazidiwa nguvu na huyo mchina, kwa hiari yake limekubali kuchapwa, ninyi wakenya ni hovyo sana
Vyenu viboko tuu..Wewe jina lako tayari ni la kichina, unapayukwa nini hapa?
Polisi wa Kenya ndio wanaongoza Afrika nzima kwa kuwapiga risasi na kuuwa raia wao, kwa kila mtanzania mmoja anayeuliwa na polisi,kuna wakenya 30 waliouliwa na polisi, unalijua hilo?Bora wananyukwa viboko na wachina KULIKO WANAPIGWA RISASI NA SERIKALI YA CCM.
Na mfadhili wao wa demonkrashia marikani, huko weusi wanaongza kwa kupigwa risasi na polisi.Polisi wa Kenya ndio wanaongoza Afrika nzima kwa kuwapiga risasi na kuuwa raia wao, kwa kila mtanzania mmoja anayeuliwa na polisi,kuna wakenya 30 waliouliwa na polisi, unalijua hilo?
hapana hatujawazidi hata wachina wapo wengi kenya hilo pia hongereni sana na MUNGU awabariki waongezeke zaidi wazaane waweze kuinua uchumi wa kenya,Kwani nyinyi mumetushinda kiuchumi au hata kimasomo? Wacha kuota mchama mzee.