Mkenya ateuliwa cheo muhimu cha juu Vodacom, Afrika Kusini

Mkenya ateuliwa cheo muhimu cha juu Vodacom, Afrika Kusini

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Endeleeni kupika majungu kwa wivu wenu ila Wakenya wanapaa, tena sio ushirikina ila bidii na elimu bora....hehehehe

======

Chege.jpg

Vodacom Group has tapped Safaricom's chief corporate affairs officer Stephen Chege as its group chief external affairs officer.

The announcement was made by Safaricom chief executive officer Peter Ndegwa in a memo to Safaricom staff seen by the Business Daily.

"Steve will take up the role at Vodacom headquarters in Johannesburg and will be responsible for group regulatory, external and corporate affairs, public policy, communication strategy, media relationships, group corporate social investment and sustainability," said Mr Ndegwa in the internal announcement.

Mr Chege's appointment will take effect mid next month. He will report to the chief executive of Vodacom Group Shameel Joosub.

Mr Chege, a University of Nairobi trained lawyer, has risen through the ranks at Safaricom to his current position which he held since 2015 having joined Safaricom as in-house counsel in 2006.

"He has had a distinguished and successful career guiding Safaricom's position in legal, competition, regulatory and reputational matters, developing industry policy, positioning Safaricom as a purpose led organisation and making a significant contribution to the success of Safaricom," said Mr Ndegwa.

Vodacom, a South African operator owns 35 percent of Safaricom.

Safaricom and Vodacom in 2019 formed a joint venture with Vodacom and acquired the intellectual property rights to M-Pesa from Britain's Vodafone.

Apart from developing new products based on the M-Pesa platform, Safaricom and Vodacom also want to launch into other African markets.

M-Pesa is currently offered by Vodacom majority-owned subsidiaries in Tanzania, Mozambique, Lesotho and Democratic Republic of the Congo (DRC). Vodacom also owns an indirect stake in M-Pesa’s business in Kenya through its 35 percent stake in Safaricom.

Vodafone holds a 5 percent stake in Safaricom.

Vodacom has a market capitalisation of about Sh1.8 trillion, slightly ahead of Safaricom’s Sh1.5 trillion.

Chanzo: Business Daily Africa
 
Sisi tumeongoza mpaka UN wala hatukuanzisha mada huku, nyie kupewa kazi ya masoko tu tayari hamlali. Kwa akili hizi Kenya inabidi itawaliwe upya.
Hii maneno inamsumbua
 
Sisi tumeongoza mpaka UN wala hatukuanzisha mada huku, nyie kupewa kazi ya masoko tu tayari hamlali. Kwa akili hizi Kenya inabidi itawaliwe upya.
Huyo Tibaijuka ambaye tulimpea nafasi hapa Nairobi ndio anakutia Kiwewe? Hivi hujui Mukhisa Kituyi na Amos Wako wa Kenya wameshashikilia positions kama hizo?
 
Hii maneno inamsumbua
'Haya maneno', sio 'hii maneno'. Jifunze Kiswahili. BOOM!
 
Sisi tumeongoza mpaka UN wala hatukuanzisha mada huku, nyie kupewa kazi ya masoko tu tayari hamlali. Kwa akili hizi Kenya inabidi itawaliwe upya.

Elimu ya Kenya mpaka muifikie labda vitukuu vyenu....hehehe
 
Huyo Tibaijuka ambaye tulimpea nafasi hapa Nairobi ndio anakutia Kiwewe? Hivi hujui Mukhisa Kituyi na Amos Wako wa Kenya wameshashikilia positions kama hizo?
Kituyi was in a more superior position., 😂 😂
 
Wakenya balaa sana, elimu yetu bora inatupeleka mbali, niko huku Sudan Kusini yaani hamna kampuni yoyote ya maana isiyokua na Wakenya kwenye uongozi, kawaida yangu nimezoea nikisafiri kwenye nchi yoyote nikutane na Mkenya huwa lazima tuchangamkiane, ila huku nimejkuta naona kawaida tu, maana wapo wameshikilia nyadhifa nyingi za maana.

Sema kidogo sijawa na furaha kuona wahandisi/engineers wetu wengi wako huku, jameni natumai nyumbani wameachwa wa kutosha. Ujenzi wa barabara na majengo na miundo mbinu ya kila aina Wakenya wanahusika pakubwa, hili taifa tunalijenga bati kwa bati tofali kwa tofali.
Unakuta kwenye ndege abiria 70% wote Wakenya, stori za Kikenya kote kote.
 
Wahandisi wenu ni hao wanaangusha magorofa ya watu kila siku huko Nairobi, njooni Tanzania tuna kazi nyingi za saidia fundi, tuwabebeshe makarai ya zege ndio akili ikae vizuri.
 
Uchumi wa Kenya ni wa kwenye makaratasi tena number za kubumba, hili deni ni himilivu, hutasikia mchina anataka kumkamata treasury office kama huko Kenya.

Lini umewahi kuskia Kenya inanyan'ganywa mindege kama namna huwatendekea kila mkishndwa kulipa madeni ya watu, sasa mumejiongeza madeni kibao na mpaka leo hamna mlichosimamisha kikaonekana, SGR iliyokua ianze kutumika 2019 kasafu kadogo tu Dar-Moro mpaka leo mnachimba chimba, wazembe sana nyie.
 
Back
Top Bottom