hapa umedanganya sana ,sio kweli kwamba AIDS ni combination ya all desease.ukimwi ni upungufu wa kinga ONLY. kinga ikipungua unaweza kusababisha ukapata ugonjwa wowote au sipate ugonjwa wowote kutegemea na strength ya kinga yako na vipi unapambana kuiimarisha kinga yako.huu upungufu wa kinga kwenye mwili(UKIMWI) ubasababishwa na vitu vingi sana kwenye maisha na sio HIV kama tulivyoaminishwa .cha muhimu tunza kinga yako kwa kufata mfumo mzuri wa maisha yako kitu ambacho wengi kinatushinda kutokana na factor nyingi ikiwemo umasikini ,ndio maana bara la afrika hasa chini ya jangwa la saharandilo linaloongoza kwa ukimwi duniani .
UKIMWI sio combination ya magonjwa bali ukiwa na ukimwi vimelea vya magonjwa ni rahisi kukushambulia