Mkenya ni mojawapo wa mabingwa wanasayansi waliokusanyika kuvumbua dawa ya kuponya UKIMWI

Mkenya ni mojawapo wa mabingwa wanasayansi waliokusanyika kuvumbua dawa ya kuponya UKIMWI

nimeona hili swali kwanza sory kwa kusema ni lakijinga yani nikwambie kinga ya mwili ni nini?? hauna idea ya immunity??
sorry uliza maswali kwa faida ya wengu humu
pia umesema u have realized im not smart as i claim lakini hakuna sehemu yoyote uliponiqoute nimejiita smart hapo unadhani kati yangu na yako nani ataonekana hayuko smart??
pili wewe uliyesema AIDS ni combination ya magonjwa yote wakati unajua au labda hujui kweli kwamba AIDS ni just immunity difficiency mwilini wala sio combination ya ugonjwa wowote

hapo huoni kabisa umejidhihirisha wewe sio smart enough??
AIDS is an Acquired Immunodeficiency Syndrome meaning the immune deficiency is acquired from something, which is a retrovirus(HIV) that lowers the body immunity.
i) Acquired- means "to get from"
ii)Immunodeficiency- means " lack of immune system.
iii) Syndrome- means "medical signs"

So the reason why I say that AIDS is a combination of all diseases is this;

1. AIDS is a condition and not a disease,
2. It is through this condition(AIDS) that other diseases (opportunistic diseases) now gets into body because there is no barrier(CD4+T cells) and makes their effects known.
3. Once this diseases are now inside human being, they take effect and then eventually kill the affected.
 
Sijui kwanini hawakumualika huyu mwanasayansi wa kiafrika kutoka Tz. Tayari ana tiba yake ya ukimwi ambayo ameitengeneza kwa kutumia machozi ya burukenge na mate ya nungunungu. [emoji38]
13jbid-jpg.902318
 
duuuuu hizo habar toka kitambo zipi hata babu wa loliondo alizpata ila sijajua mpango uhalisia kama upo ndani ya hilo suala tujihadhari dengu tyu inaua
 
Let me educate you my friend.
First, going by the definition AIDS in an immunodeficiency disease which means that it occurs due to lack of immune cells. Second, the immune cell we are talking about here is the T cell sub-type CD4+ T cells. It is these cells that HIV which is a retrovirus attack a reduce their numbers in the body. Once they are reduced to a level which they can no longer fight any infection, that's when other diseases come in. It is this diseases that normally kill.
Asee jitahidi unatuvuruga hapo ktk kiingereza chako.
"a reduce the number"
Andika vema tukuelewe maana kuna concept nataka niichukue kutoka kwako irekebishe hii post yako.
I need some concept over here.
 
hakuna kitu kinachoitwa HIV ni uongo mkubwa uliotengenezwa, UKIMWI upo hasa africa kutokana na sababu mbalimbali na sio kweli kwamba unaambukizwa kwa njia tunazodanganywa,labda uambukizwe magonjwa yatakayoambata na upungufu huo wa kinga(UKIMWI) kama vile TB ambayo mara nyingi huambukizwa kwa njia ya hewa na si ngono na inatibika.
Najua ni elimu kubwa kwako kuliko capacity yako so hutaweza kunielewa ukizingatia ushakremishwa tangu utotoni so kukutoa huko shimoni sio rahisi
Hebu jaribu kwangu kunitoa shimoni kwa elimu yako ,naamini nitatoka humu shimoni
 
Antibodies can never be tested when AIDS presence is to be determined because antibodies only protects against extracellular infections and not intracellular. AIDS is an intracellular infection so antibody has no role in its protection.
they do not test HIV wala hakuna aliyewahi kumonana HIV kwa kipimo chochote they just test anti body reaction kwenye mwili.mwili unaposhambuliwa unaproduce anti bodies kupambana na mashambuzli
Sasa nyie wasomi mnabishana tuuuu, hebu tuambieni kinagaubaga, ukimwi upo au haupo?
 
Back
Top Bottom