Mkenya ni mojawapo wa mabingwa wanasayansi waliokusanyika kuvumbua dawa ya kuponya UKIMWI

Hapa ndipo jamaa walipofanikiwa kudanganya wengi ,unaweza kunijia majina ya hizo kinga zinazopambana na magonjwa mengine?? ok nitajie kinga inayopambana na wadudu wa malaria tu au TB.kifupi mwili wowote wa binadamu una CD4 na kinga ya mwili ambayo ni ile hali ya mwili kuwa na uwezo wa kujikinga wenyewe dhidi ya maradhi mbalimbali ikishambuliwa hii CD4 hupungua .hakuna sehemu yoyote wala daktari yoyote atakayeweza kupima HIV anavyoshusha CD4
 
Eti AIDS is caused by stress.
Hivi hizo shule mnaenda kusomea ujinga ( in FaizaFoxy 's voice]
tatizo umekurupukia uzi ungeanza kusoma tangu mwanzo au ungeuliza stress zikizidi zinaweza kupelekea mtu akafanya kitu gani hatarishi kinachoweza kusababisha akaathirika na ukimwi

ficha ujinga wako ,shule ikusaidie kupanua ubongo
 
Let me ask you one question, when you go to VCT what do they normally test?
they do not test HIV wala hakuna aliyewahi kumonana HIV kwa kipimo chochote they just test anti body reaction kwenye mwili.mwili unaposhambuliwa unaproduce anti bodies kupambana na mashambuzli
 
Let me educate you my friend.
First, going by the definition AIDS in an immunodeficiency disease which means that it occurs due to lack of immune cells. Second, the immune cell we are talking about here is the T cell sub-type CD4+ T cells. It is these cells that HIV which is a retrovirus attack a reduce their numbers in the body. Once they are reduced to a level which they can no longer fight any infection, that's when other diseases come in. It is this diseases that normally kill.
 
they do not test HIV wala hakuna aliyewahi kumonana HIV kwa kipimo chochote they just test anti body reaction kwenye mwili.mwili unaposhambuliwa unaproduce anti bodies kupambana na mashambuzli
Yeah they don't test HIV but they test CD4 T cells and not antibodies.
 
they do not test HIV wala hakuna aliyewahi kumonana HIV kwa kipimo chochote they just test anti body reaction kwenye mwili.mwili unaposhambuliwa unaproduce anti bodies kupambana na mashambuzli
Antibodies can never be tested when AIDS presence is to be determined because antibodies only protects against extracellular infections and not intracellular. AIDS is an intracellular infection so antibody has no role in its protection.
 
tatizo umekurupukia uzi ungeanza kusoma tangu mwanzo au ungeuliza stress zikizidi zinaweza kupelekea mtu akafanya kitu gani hatarishi kinachoweza kusababisha akaathirika na ukimwi

ficha ujinga wako ,shule ikusaidie kupanua ubongo
Lol.. Am out..sitaki majibizano ya kuumiza kichwa. Nilikuwa nimeshangaa tu.
 
Antibodies can never be tested when AIDS presence is to be determined because antibodies only protects against extracellular infections and not intracellular. AIDS is an intracellular infection so antibody has no role in its protection.

Kama hajakuelewa hapa, basi atakua na matatizo.
 
The immune molecule that fights TB is interleukin which is produced from macrophages. So the immune cell is macrophages and the immune molecule is interleukin. For malaria, the immune cells are antibodies and other cytokines because P.falciparum is an extracellular parasite .
 
Asante kw kufuta kauli yako...endelea kupewa somo..naona umeanza kumuelewa teargass
tatizo umekurupukia uzi ungeanza kusoma tangu mwanzo au ungeuliza stress zikizidi zinaweza kupelekea mtu akafanya kitu gani hatarishi kinachoweza kusababisha akaathirika na ukimwi

ficha ujinga wako ,shule ikusaidie kupanua ubongo
 
Mkuu mbona sijakuelewa, na nina iman hata wengne weng tu hawajakuelewa!

tueleweshe mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…