ChalaX Nyato
Member
- Aug 24, 2024
- 92
- 167
Rejea kimemo....Embu jiamini majirani kuwasiliana si jambo baya si inaweza kuwa msaada wakati wa dharura kama haupo .
Mimi ninanamba za simu za majirani zangu wengine ni mke na mume.
Labda jinsi alivyoomba .
Ila kuna umuhimu wa kuwa na namba za simu za majirani kama ni mume na mke unakuwa nazo za wote.
Kwa hiyo mtu ukiwa na namba ya jirani kama ni mwanamke lazima uwasiliane naye kwa minajili ya kumtongoza ?
Ndo maana nikaomba ushauri..ingelikuwa wewe ungefanyajeUkiona mwanamke anakupa hizo taarifa eti; ameombwa namba au ametongozwa na mtu flani, jua anatumia hiyo nafasi ili wewe uzidi kumuamini wakati huo yeye anachepuka na huyo jirani. Hiyo ni hatari, tena hapo yawezekana anatengeneza mazingira ya yeye kutembea na huyo jirani pasipo wewe kutilia mashaka ( kwa kuwa amesha kwambia kamktalia kumpa namba).
HAPO AMEJIVISHA NGOZI YA KONDOO WAKATI NDANI NI CHUI
Biblia imesema "wanawake tuishi nao kwa akili"
Sawa..kwa hiyo ingelikuwa wewe ungefanyaje ..ndo ungemwambia mwanamke maneno hayo au ungemuacha ukatafuta mwingine?Kwanini option ni kuhama? Huko tunapohamia napo ukitongozwa?
Mwanamke mwenye akili akitongozwa anakataa anaendelea na mambo mengine, Kuna namna mwanaume akikataliwa harudi unless anataka kubaka sasa usumbufu umevuka mipaka hapo mwanamke anaweza sema analolipitia ili alindwe.
NB: Inawezekana mwanamke keshaamua atampa ila anataka kufuta uwezekano wa kukamatwa kwa kukudanganya kisaikolojia na kukuondoa karibu na mhusika kwa kuhama.
Nami namtuma mke wangu akaombe namba, naandika kimemo.....Kwa mfano kuna mpangaji mpya amewasili mnapoishi ila baada ya mwezi akamuomba namba ya simu mkeo kwa siri kwamba lengo wewe usijue tena alivyo mshamba akatumia kimemo na ushahidi upo wa kimemo na mkeo akamnyima na akaja kukusimulia wewe ila kwa kuogopa kugombanisha mpangaji na mkewe akakuomba chondechonde usianzishe vurumai hapo nyumbani kwani itakuwa ni aibu isitoshe utawagombanisha mtashindwa kuishi hapo so anakuomba kwamba uwe na kifua kipindi mnatafuta nyumba nyingine.
Je hatua gani za mapema uzichukue?
Je umkanye huyo mpangaji kimya kimya?
Au mbele ya mkewe?
Au utume mtu mzima akamueleze?
Au ukamnywee konyago ili uje ulianzishe fujo mtaa mzima wapate habari umekinukisha.
Ningemuuliza kwanini tuhame? Huyu ana uspecial gani wa kukimbiwa tofauti na wanaume wengine ambao wameshawahi kukutongoza na ukahandle hiyo hali bila kutoa taarifa?Sawa..kwa hiyo ingelikuwa wewe ungefanyaje ..ndo ungemwambia mwanamke maneno hayo au ungemuacha ukatafuta mwingine?
TAYARI hukoKwa mfano kuna mpangaji mpya amewasili mnapoishi ila baada ya mwezi akamuomba namba ya simu mkeo kwa siri kwamba lengo wewe usijue tena alivyo mshamba akatumia kimemo na ushahidi upo wa kimemo na mkeo akamnyima na akaja kukusimulia wewe ila kwa kuogopa kugombanisha mpangaji na mkewe akakuomba chondechonde usianzishe vurumai hapo nyumbani kwani itakuwa ni aibu isitoshe utawagombanisha mtashindwa kuishi hapo so anakuomba kwamba uwe na kifua kipindi mnatafuta nyumba nyingine.
Je hatua gani za mapema uzichukue?
Je umkanye huyo mpangaji kimya kimya?
Au mbele ya mkewe?
Au utume mtu mzima akamueleze?
Au ukamnywee konyago ili uje ulianzishe fujo mtaa mzima wapate habari umekinukisha.
Wacha kumpanikisha mwenzako mkuu😄Akikwambia hivyo ujue kashamegwa😄