Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
NENO KWA MFANO EBU LITOE ...MKUU NI OMBI SIO LAZIMA 😁Kwa mfano kuna mpangaji mpya amewasili mnapoishi ila baada ya mwezi akamuomba namba ya simu mkeo kwa siri kwamba lengo wewe usijue tena alivyo mshamba akatumia kimemo na ushahidi upo wa kimemo na mkeo akamnyima na akaja kukusimulia wewe ila kwa kuogopa kugombanisha mpangaji na mkewe akakuomba chondechonde usianzishe vurumai hapo nyumbani kwani itakuwa ni aibu isitoshe utawagombanisha mtashindwa kuishi hapo so anakuomba kwamba uwe na kifua kipindi mnatafuta nyumba nyingine.
Je hatua gani za mapema uzichukue?
Je umkanye huyo mpangaji kimya kimya?
Au mbele ya mkewe?
Au utume mtu mzima akamueleze?
Au ukamnywee konyago ili uje ulianzishe fujo mtaa mzima wapate habari umekinukisha.
Hivi wewe unajua hata vidole vya mkono vinakunjaje ngumi ?Huyo mpangaji ni mshamba, achana nae, atakuwa anatetemeka tu, ila mwambie mkeo akirudia huo ushamba wake mara ya pili akwambie, hapo ndipo utamtokea huyo mshamba personally, umchane face to face aache kuleta mambo ya kishamba kwa mkeo.
Ukikutana nae huyo jamaa una mwambia umehamia hapa juzi tu lakini una moto sanaKwa mfano kuna mpangaji mpya amewasili mnapoishi ila baada ya mwezi akamuomba namba ya simu mkeo kwa siri kwamba lengo wewe usijue tena alivyo mshamba akatumia kimemo na ushahidi upo wa kimemo na mkeo akamnyima na akaja kukusimulia wewe ila kwa kuogopa kugombanisha mpangaji na mkewe akakuomba chondechonde usianzishe vurumai hapo nyumbani kwani itakuwa ni aibu isitoshe utawagombanisha mtashindwa kuishi hapo so anakuomba kwamba uwe na kifua kipindi mnatafuta nyumba nyingine.
Je hatua gani za mapema uzichukue?
Je umkanye huyo mpangaji kimya kimya?
Au mbele ya mkewe?
Au utume mtu mzima akamueleze?
Au ukamnywee konyago ili uje ulianzishe fujo mtaa mzima wapate habari umekinukisha.