Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Kuombwa namba sio shida, shida ni sababu ya kuombwa hiyo namba. Sema nini Mkuu mjali wife. Hapo kaamua tu kukuonesha kywa bado wapo wanaomuona wa maana, ukweli ni kwamba alifurahia kuombwa hizo namba.
Track ya Mmmh! by Sir Jay Tz ft Chino isindikize uzi.
Dj, plee dat ting
Track ya Mmmh! by Sir Jay Tz ft Chino isindikize uzi.
Dj, plee dat ting