Mkeo aliwahi kukulaza lock up, baada ya kutoka maisha yalikuwaje?

Kwahiyo tuendelee kuumizwa na wanawake kwa kuogopa kutupiwa watoto?
Huko ni kulea ujinga na mi nshakataa,akizingua aende
Nimekuuliza utamsaidia kulea ? Maana hajasema kosa hapo tambia ni lake lingekuwa la mkewe angelisema.
 
Mkuu pole sana kwa yote!
Samehe tu leeni watoto wenu,jifanye mjinga siku ziende....Kumbuka siku hazigandi.
 
Mzee wangu alinambia mwanangu usipokuwa na uwezo wa kumuacha mwanamke utapata tabu sana maishani mwako sisi kwa mzee tupo matumbo manne na mzee kaoa wake nane wa halali lakini mpaka anafariki alikuwa na wake wawili alikuwa akiacha harudii nyuma yaani hii formula hata wife anaijua anakaa kwa kutulia hakuna kupoteza mda kama ni muislamu mkuu ongeza mathna.
 
Kwahiyo baba yako yeye alikuwa mkamilifu kuliko hao wakeze wote, na wewe si unadada zako ambao ni watoto wake wewe jipange kulea wapwa MUNGU sio mchoyo humpq kila mtu haki yake
 
Kwahiyo baba yako yeye alikuwa mkamilifu kuliko hao wakeze wote, na wewe si unadada zako ambao ni watoto wake wewe jipange kulea wapwa MUNGU sio mchoyo humpq kila mtu haki yake
Utaratibu wa kuoa au kukaa na mke mmoja sio wa waafrika huo ni wa wazungu dada zangu mpaka wakaamua kuolewa kwa akili zao inamaana washakuwa wakubwa hivyo kila mtu atapambana na hali yake.
 
Uyo mwanamke ni Delila kwa Samson, nakushauri mfukuze aende kwao au akaolewe na hao walimpa ushauri wa kwenda polisi au aolewe na hao polisi the rest utakuja kumbuuka na kudhalilika sana. Nyumba Moja haiwezi kuwa na wanaume wawili
 
Shemeji yako ni dhaifu sana,
Wagombane alafu baba mwenye nyumba ndio anakimbia mji, hii ni huzuni
Mpige mkeo na uendelee kukaa apo apo...dunia inamwangalia mwanamke kwa jicho la ukaribu sana mambo yamebadirika sana siku izi
 
Mpige mkeo na uendelee kukaa apo apo...dunia inamwangalia mwanamke kwa jicho la ukaribu sana mambo yamebadirika sana siku izi
Bado naenjoy kuwa principal bachelor, ila hata ninao date nao, kwenye nonsense ni zero tolerance kwa hawa viumbe.
Wakivuka redline, huwa nawakumbusha maadili
Nyie ndio mnatengeneza mazingira ya uoga na kupandwa kichwani
 
Ungeoa kwanza then tuongee rugha moja mister
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…