Mkeo aliwahi kukulaza lock up, baada ya kutoka maisha yalikuwaje?

Mkeo aliwahi kukulaza lock up, baada ya kutoka maisha yalikuwaje?

Mkuu, kupotea kidogo ni lazima sababu inatoa gap ya kila mtu kutambua umuhimu wa mwenzake na kupata ladha ya kuachana inavyofanana, hii ni nzuri kwa afya ya mahusiano pale mnapoyaamsha tena. Ila, asitokee wa kufanya umalaya, esp mwanamke.
Alikuwa mjamzito tena mimba kubwa , kafuata maji aje kuosha mahindi maring yakupamp wakamsaidia kisukuma, jiulize na yeye alikuwepo kwanini asimwambie ngoja nifuate maji tulia na tumbo lako hapa!
 
Jamaa karudi kazini huku akiwa amechoka.

WIFE: "umepitia kwa mahawara zako huko alafu umefika humu unajifanya umechoka"

JAMAA: "Sawa, naomba chakula nahitaji kupumzika"

WIFE; "Ungekuwa una njaa si ungewahi kurudi kawaambie mahawara zako wakupikie .

JAMAA: mbona unanijibu jeuri nitakupiga,

WIFE: "EMU NIPIGE KAMA WEWE MWANAUME KWELI".

Kuna wanawake Wana midomo michafu choo cha stand kinasubiri.
Sizani mke ambaye anajua mmewe katoka kazini anaweza fanya hivyo, ukiona hivyo ujue mmeokotana wakufanana tabia zenu
 
Sasa wewe umempiga yeye kakulaza ndani, si umsamehe maisha yasonge.
Maan hata wewe pia ulikua na kosa mwanamke ukumzaa, hukumbebea mimba iweje umpige.

Kwani kwenye vikao vya wanaume hamfunzani mwanamke anapigwa na nin duh.
Rudi nyumbani achana na ushauri wa mabachela humu ambao hawajui hata mahari zinalipwaje.
Uzi ufungwe.
 
Eeeh, mkeo hana meno? 😂😁😂😁 mwanaune wa kupigapiga hapana aisee. Wanakujaza ujinga tu hapa. Ungempiga Kofi moja tungesema hasira, ila umevua hadi mkanda. Ulimpania mtoto wa wenyewe.
Mi huko polisi ungekimbilia wewe aisee kuchukua pf3 ukatibiwe, ningekutandika na kitu chochote.
 
😂😂😂😂 Kuna mkuu wakituo mmoja ilikuwa mtu akimpiga mkewe kesi ikamfikia alikuwa anatoa bakora zakutosha mpaka mwanaume anaomba poo 😂😂😂😂
Hiyo ingependeza hizo bakora ampe mke amtandike mumewe 😹😹😹

Unamcharaza hakuna kufuta, akikwepa unaanza na moja.. mpk akasimulie wapumbavu wenzie 🤣
 
Kuna mkaka alimuua mkewe tena mjamzito kaenda kuchota maji kakuta vijana ni yale maring wakamjazia kufika nyumbani kaanza kumpiga eti alikuwa na wanaume, kumbe binamu yake alipita kamuona kaenda mwambia ndugu yake mkeo yupo na vijana huu mwaka 22 yupo gerezani pamoja na mbeya wake
Hasira zipo ndani ya mpumbavu, kukurupuka na kujifanya mbabe wa ndoa matokeo yake ananyea debe kizembe.!!

Tena wampididy shenzy zake
 
Hapo anapiga mke ukute hata matunzo yanayoeleweka hakuna.!!
Kama ulikuwepo Wanaume wapigaji asilimia kubwa ni dhaifu hawana mbele wala nyuma tena wengi wao kimoko chali hasira zao wanamalizia kwenye mwili 😁
 
Back
Top Bottom