Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu Tafuta PESA wanawake hata malaika wamewashindwaUkisikia mmama au mdada anakwambia ngoja ntamtuma 'bodaboda wangu'
Basi ujue huyo Bodaboda wake ni bodaboda wake Kweli kweli..
Nnamjua mdada ambae anamtuma bodaboda wake kumtolea hela Kwa ATM..
Kuna mmoja aliniletea bidhaa nikatakiwa nimrushie zaidi ya 300k..
Nikamwambia makato upande wako..
Akaniambia basi Acha 'namtuma bodaboda wangu'..
Bodaboda anaweza kumsubiri mdada aoge amalize ndo ambebe..
Cha kushangaza bodaboda hawa ni wakali mno kama Wana deal na vidume..
Hawataki kupotezewa mda ..na mahesabu
Ya gharama wanakuwa makini..but Kwa wadada ..watapigishwa round kibao malipo kiduchu lakini 'watiifu na waaminifu' kupita maelezo..
Achilia mbali wale boda wanaokunywa
Na wake zetu au kuwafata bar wakiwa hoi ili wawalete nyumbani wakati huo we umesafiri kikazi.....
Hii connection ya wamama na wadada na bodaboda si ya mchezo...
Nawauliza Wana Jf ..mkeo ana bodaboda wake?...
Hapo kwa ATM hata mimi bado.Mimi bodaboda WANGU[emoji1787] nilipewa namba na baby, sababu yeye alikuwa anaishi maeneo haya kabla yangu ila sasa hivi yeye akipiga simu inaweza isipokewe but mimi lazima apokee na hata kama kashalala anaamka. Huwa inamuuma sana
All in all ni kijana mwaminifu sana japo sijafika level za kumpa ATM card mtu yeyote yule.
Naomba niwe bodaboda wako wa nne mkuu RaynaveroNnao km watatu hivi,massawe,ramso na rango
Akikuomba mchezo utamnyima be honestBoda boda wangu ninae nampa atm kadi anatoa hela kwa uaminifu wote, namtuma sokoni namtuma popote, kwa kifupi bodaboda wangu ni zaidi ya ndugu yangu
Imekula kwakeKuna jamaa kamnunulia mkewe gari mbili
Still mmama gari hatumii
Kazi kumtuma boda Tu..
Na akilewa usiku bar boda ndo anamfata
Jamaa yupo nje ya nchi
Huu ndio ujinga wanaume huwa tunafanya kwa wanawake /wake zetu, unamnunuliaje mtu mmoja gari mbili wakati watu watano wanaweza kutumia gari moja ?? Kama sio uzumbukuku ni nini ??Kuna jamaa kamnunulia mkewe gari mbili
Still mmama gari hatumii
Kazi kumtuma boda Tu..
Na akilewa usiku bar boda ndo anamfata
Jamaa yupo nje ya nchi
Huu ndio ujinga wanaume huwa tunafanya kwa wanawake /wake zetu, unamnunuliaje mtu mmoja gari mbili wakati watu watano wanaweza kutumia gari moja ??, kama sio uzumbukuku ni nini ??Kuna jamaa kamnunulia mkewe gari mbili
Still mmama gari hatumii
Kazi kumtuma boda Tu..
Na akilewa usiku bar boda ndo anamfata
Jamaa yupo nje ya nchi
😂😂😂sawaNipigie simu baadae nikufuate boss
Nilkuwa najua boda wanatumwa sehem mbal mbal lakin skutegemea kama huwa wanatumwa mpaka kwenye ATMBoda boda wangu ninae nampa ATM kadi anatoa hela kwa uaminifu wote, namtuma sokoni namtuma popote, kwa kifupi bodaboda wangu ni zaidi ya ndugu yangu.
Kuna bodaboda mmoja huku mtaani ni mbea hatari! Alikuwa na abiria wake Ana mdada amempangishia chumba mtaani! Bodaboda ndie alikuwa anatumiwa na jamaa kupeleka matumizi n.k! Bwana weee bodaboda c Kendamwambia mke wa jamaa full story kampeleka mpaka mpaka kwa huyo mchepuko! Story zmeenea mtaani nadhan saiv Hana wateja wengi maana ni mbeaaa[emoji2]Mi ninao bodaboda wangu watatu, mmoja wa kunipeleka chocho zangu huyu sio mmbea, mwingine kwa ajili ya kumuagiza tu na wa 3 ni wa dharura ikitokea hao wawili wako mbali