Mkeo ana bodaboda wake?

Mkeo ana bodaboda wake?

Ukisikia mmama au mdada anakwambia ngoja ntamtuma 'bodaboda wangu'
Basi ujue huyo Bodaboda wake ni bodaboda wake Kweli kweli..

Nnamjua mdada ambae anamtuma bodaboda wake kumtolea hela Kwa ATM..

Kuna mmoja aliniletea bidhaa nikatakiwa nimrushie zaidi ya 300k..
Nikamwambia makato upande wako..
Akaniambia basi Acha 'namtuma bodaboda wangu'..

Bodaboda anaweza kumsubiri mdada aoge amalize ndo ambebe..

Cha kushangaza bodaboda hawa ni wakali mno kama Wana deal na vidume..
Hawataki kupotezewa mda ..na mahesabu
Ya gharama wanakuwa makini..but Kwa wadada ..watapigishwa round kibao malipo kiduchu lakini 'watiifu na waaminifu' kupita maelezo..

Achilia mbali wale boda wanaokunywa
Na wake zetu au kuwafata bar wakiwa hoi ili wawalete nyumbani wakati huo we umesafiri kikazi.....

Hii connection ya wamama na wadada na bodaboda si ya mchezo...

Nawauliza Wana Jf ..mkeo ana bodaboda wake?...
Ndugu Tafuta PESA wanawake hata malaika wamewashindwa
 
Mimi bodaboda WANGU🤣 nilipewa namba na baby, sababu yeye alikuwa anaishi maeneo haya kabla yangu ila sasa hivi yeye akipiga simu inaweza isipokewe but mimi lazima apokee na hata kama kashalala anaamka. Huwa inamuuma sana.

All in all ni kijana mwaminifu sana japo sijafika level za kumpa ATM card mtu yeyote yule.
 
Mimi bodaboda WANGU[emoji1787] nilipewa namba na baby, sababu yeye alikuwa anaishi maeneo haya kabla yangu ila sasa hivi yeye akipiga simu inaweza isipokewe but mimi lazima apokee na hata kama kashalala anaamka. Huwa inamuuma sana

All in all ni kijana mwaminifu sana japo sijafika level za kumpa ATM card mtu yeyote yule.
Hapo kwa ATM hata mimi bado.
 
Hata mimi mwanamme lakini nikitaka kuagiza kitu nao watu wangu nawatuma sibadilishi.

Umalaya au uhuni ni tabia tu najuwa watu wanapenda na kuwa na mtu anayemwamini katika kazi zake lakini sio kila mwanammke ndio tabia zao hizo sio kweli katika hili.
 
Boda boda ina raha yake kwa wadada hasa ujue jinsi ya kuipa moto utaona kiuno cha demu kunirudi kwa nyuma hivi. Boda boda oyeee!. Hasa yale yenye vibrations kama ma sunlg ni balaa. Wenye magari mtasubiri sana.
 
Mi ninao bodaboda wangu watatu, mmoja wa kunipeleka chocho zangu huyu sio mmbea, mwingine kwa ajili ya kumuagiza tu na wa 3 ni wa dharura ikitokea hao wawili wako mbali
 
Kuna jamaa kamnunulia mkewe gari mbili
Still mmama gari hatumii
Kazi kumtuma boda Tu..
Na akilewa usiku bar boda ndo anamfata
Jamaa yupo nje ya nchi
Huu ndio ujinga wanaume huwa tunafanya kwa wanawake /wake zetu, unamnunuliaje mtu mmoja gari mbili wakati watu watano wanaweza kutumia gari moja ?? Kama sio uzumbukuku ni nini ??
huyo zoba nina amini anaweza kuwa na ndugu zake huko kwenye asili yao wana dhiki kama nini !!,

Yaani unajidanganya kumnunulia mwanamke magari mawili ukidhani ndio atakupenda saaana, umelogwa tu, wanawake hawa hawaelewagi hata wenyewe wanataka nini, utashangaa pamoja na magari hayo mawili aliyonunua bado mwanamke anaweza kufanya mambo ya hovyo ikiwemo uzinifu na hili bodaboda, hala wewe umekalisha nanihii zako kama bwege, kwani gari moja haimtoshi mtu kutembelea ??
 
Kuna jamaa kamnunulia mkewe gari mbili
Still mmama gari hatumii
Kazi kumtuma boda Tu..
Na akilewa usiku bar boda ndo anamfata
Jamaa yupo nje ya nchi
Huu ndio ujinga wanaume huwa tunafanya kwa wanawake /wake zetu, unamnunuliaje mtu mmoja gari mbili wakati watu watano wanaweza kutumia gari moja ??, kama sio uzumbukuku ni nini ??

Huyo zoba nina amini anaweza kuwa na ndugu zake huko kwenye asili yao wana dhiki kama nini !!, yaani unajidanganya kumnunulia mwanamke magari mawili ukidhani ndio atakupenda saaana, umelogwa tu, wanawake hawa hawaelewagi hata wenyewe wanataka nini, utashangaa pamoja na magari hayo mawili aliyonunua bado mwanamke anaweza kufanya mambo ya hovyo ikiwemo uzinifu na hili bodaboda, hala wewe umekalisha nanihii zako kama bwege, kwani gari moja haimtoshi mtu kutembelea ??
 
Kuna kipindi nilikuwa na boda mmoja hivi Sasa mi kikawaida huwa sipendi kumtreat mtu vibaya, lugha nzuri, samahani km nikimchukulia muda wake kunisubiri, salamu endapo tukikutana pahala nk, ikawa nikienda shopping nae nampatia chochote kwa ajili ya familia yake nk, mkewe akajifungua akanambia nikaenda msalimia na zawadi ya khanga na kitenge Sasa jamaa sijui akahisi anaweza kuboresha kutoka kuwa boda na mteja iwe mtu na hawara yake akawa anapiga simu ovyo ovyo kilichoniboa Ni simu zake za usiku ,aagrrrrrggh nilimpa onyo na karipio kali hakuwahi nitafuta tena, akafie mbele huko, mfyuuuuu

Ila sikuwahi kumuamini mtu baki yeyote kunishikia kadi ya ATM hata kwa robo saa tu ije kuwa kutoa hela!! Labda babe nae Ni kwa vile mzigo anauweka mwenyewe benki
 
Mi ninao bodaboda wangu watatu, mmoja wa kunipeleka chocho zangu huyu sio mmbea, mwingine kwa ajili ya kumuagiza tu na wa 3 ni wa dharura ikitokea hao wawili wako mbali
Kuna bodaboda mmoja huku mtaani ni mbea hatari! Alikuwa na abiria wake Ana mdada amempangishia chumba mtaani! Bodaboda ndie alikuwa anatumiwa na jamaa kupeleka matumizi n.k! Bwana weee bodaboda c Kendamwambia mke wa jamaa full story kampeleka mpaka mpaka kwa huyo mchepuko! Story zmeenea mtaani nadhan saiv Hana wateja wengi maana ni mbeaaa[emoji2]
 
Back
Top Bottom