Mkeo ana bodaboda wake?

Wengine "wa tamuangusha" yeye "hakimbizi sana"

Huko kukia sana ndio kukimbua kupi?
 
Ngoja wenye bodaboda wao waje wakusikie
 
Mimi huwa nashuka mita 100 kabla sijafika eneo la tukio. Hii mbinu inaitwa 'changanya maboya'. Mtu anaona umeshuka halafu unaanza kutembea.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Dah,mi nna no.za boda boda kama tano hivi.Bado sijafikia hatua ya kumpa ATM card.Kuhusu kwenda sokoni dada anafanya nini hadi niingie gharama za kumtuma bodaboda.
Mbali sasa!
 
Haya mambo ni magumu sana. Binafsi nina msimamo mmoja siwezi poteza muda kufuatilia na kuchunga mwanamke. Nitatimiza tu wajibu kama mwanaume wake the rest yatakua juu yake. Ni ngumu kumchunga mwanamke. Kama ilivyo ni ngumu kumchunga mwanaume pia. So kimsingi hatuwezi chungana. Muhimu ni kutimiziana wajibu kiasi tujichunge wenyewe. Naithamini sana furaha yangu na uhuru wangu. Nachojua mkiwa wapenzi mnashare life including furaha na uhuru, sasa kama yeye kaona havitoshi nifanyaje. Yanini nianze sumbuana na mtu mzima ambaye ana akili timamu za kutambua nafasi na heshima yake kama mwanamke.

Tuenjoy maisha, tuache jipa stress zisizo na sbb.
 
Bodaboda wangu alifariki mwaka jana, hadi leo sijapata wa kumuamini....anyway, wanaotumana hadi kwenye ATM huo ni uchizi!
 
Kiukweli sometimes hawa wadada/wanawake tuwatetee na kuwasaidia ikibidi.

Mara nyingi ikitokea nimepanda boda huwa napenda kuwa tekenya na vimaswali vya mtego mtego kuhusu wanawake za watu/wanawake,

Kiukweli boda ndio wana tabia za kuwatega na kuwaweka kwenye mingo zao wake zetu unaweza kuta mwanamke hana hata hisia wala mawazo na huyo boda ila jamaa litafanya kila fujo na visa ili tu mwanamke aingie kwenye laini..

Mara chache mno kuna case mwanamke ndio kamshawishi boda boda atoke nae kimapenzi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…