Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,918
- 13,885
Wengine "wa tamuangusha" yeye "hakimbizi sana"Yap hiyo nimeiona sana, unakuta demu kaja kwenye kijiwe cha bodaboda kasimama takriban lisaa lizima anamsubiria bodaboda wake.
Mi nikamuuliza kwani huyo jamaa huwa anakubebaga bure? Kwanini usichukue hizi za hapa uwahi kuliko kuendelea kumsubiria huyo huoni kua unazidi kuchelewa
Akasema "Aah nimemzoea tu naogopa kubadilisha bodaboda mwingine naona anaweza niangusha maana huyu nimemzoea hakimbizi sana"
Huko kukia sana ndio kukimbua kupi?