Mkeo ana bodaboda wake?

Hii ipo kwa wanaume pia siyo wanawake tu, mtu unaamua kuwa na Bodaboda wako mmoja.
 
kuna mwana ni boda mtaa fulani pale kimara yule mwana sijui ana dawa
jamaaa alimpa no ya demu wake akamchukue jamaa kampigia demu kampokea vizuri
kamalaaa demu wa mwana then kampeleka kwa mwana alafu kamsema mwana kwa demu wake
mbaya kabisa

shikamo boda
 
yaani ni vigumu kuamininka, wanawake asilimia zaidi ya 75 wanapojiunganisha na bodaboda huwa wanakuwa wameshapata hisia nao, bodaboda wenyewe huwa wanasema kwamba wanawake wengi yaani yeye bodaboda anambeba (kama kazi) lakini ananshangaa mwanamke ndio anaanza kujitongozesha, bodaboda akisema neno moja tu mwanamke ananona kama alikuwa amechelewa, anaennda kulalal nae, wanaume tujiulize, hawa wanawake wanavutiwaga na nini kwa mabodaboda ? au ni kiherehere tu
 
Umenikumbusha Jane.
 
Yani wewe mwanamke wako kuliwa na boda wake Basi imeshakuwa wanawake wooote tunalika na boda sio??? Wengine tuna mipaka yetu na tunaiheshimu
 
Yani wewe mwanamke wako kuliwa na boda wake Basi imeshakuwa wanawake wooote tunalika na boda sio??? Wengine tuna mipaka yetu na tunaiheshimu
Mpaka uko wapi ?, nyie nani hawajui ?, yaani huwa tunaishi nanyi kwa sababu ni utaratibu tu na sheria, wanaume walio bachelor (single) huwa na good and long life, ukioa tu mwanamke ni sawa na kama umejiwekea kitanzi shingoni, unasubiri siku tu, mwanamke hana tofauti na jela ya hiari, Mama mmoja alisema Endapo Vyeti vya Ndoa vingekuwa vya ku renew kama lesen za magari haoni ni wananume wangapi wange renew, lakini pia mchungaji mmoja kule kenya aliuliza swali, Hivi Mungu akisema leo Ndoa zote nazivunja na mnaanza upya, wangapi watakuwa tayari kurudiana ?, wanawake ni chanzo cha matatizo hapa duniani, halafu kwanini umeniambia mimi mke wangu analiwa na bodaboda ?, unajisikiaje kunitusi ilihali mimi sijakusemea vibaya ?, Jiheshimu basi.
 
Ndo gazeti lote hili!!! Kama mkeo hakupi Raha ya kuwa kwenye ndoa Ni mke wako tu kaka, wengine waume zetu wakuambiwa kurenew Basi wanaturudisha mjengoni,,,😍

Kuhusu hiyo aya ya mwisho nimegeuza tu ulichosema mwanzoni kuwa tunalika sana na boda kwa ushahidi upi? Nikahisi huenda mkeo uliwahi mfumania analiwa na boda wake😂😂
 
Kuna mda boss unatakiwa kurelax K ni yake, bikra hujamtoa. ukifa ukamwacha haitaziba itaendelea kutumika wakati mwingine usifikiri utakufa kabla ya umri alafu hao boda boda wake sasa watamtafuna mpaka wachinjane kwa wivu.
umemaliza mkuu.....
 

hapa dawa ni kumtosheleza mkeo! ukilleta mchezo atafanywa na boda kiulainiiiii
 
angefanikiwa angekuja na "nilivyomla mke wa mtu kimasiara kisa boda"
 
Mkuu usirudie hilo kosa, huyo bishoo ni kidumu alishakula huyo demu, Anajua demu ni mwingi, ukishaona demu anakutumia jinsia ya kiume ujue huyo ni agent wa kula au wa kupewa pesa, sasa hio ni hatari kwani anaweza kukuuza kwa sababu ya pesa au kwa sababu ya wivu, kwani wanaume wengi hawana uwezo wa kuzuia wivu. na ni hatari sana.
 
Boda boda wangu ninae nampa ATM kadi anatoa hela kwa uaminifu wote, namtuma sokoni namtuma popote, kwa kifupi bodaboda wangu ni zaidi ya ndugu yangu.
Sistaa siku nakupiga tukio hutaamini kama ni mimi yule boda wako mwaminifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…