Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Lakini ntakuwa siendi masokoni kununua nyanya na vitunguu.[emoji23][emoji23][emoji23]nunua uwe bodaboda wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini ntakuwa siendi masokoni kununua nyanya na vitunguu.[emoji23][emoji23][emoji23]nunua uwe bodaboda wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna jamaa kamnunulia mkewe gari mbili
Still mmama gari hatumii
Kazi kumtuma boda Tu..
Na akilewa usiku bar boda ndo anamfata
Jamaa yupo nje ya nchi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ninao km watatu hivi, Massawe, Ramso na Rango.
Utasikia nina bodaboda wangu nakuja nae...Ukisikia mama au dada anakwambia ngoja nitamtuma 'bodaboda wangu' basi ujue huyo Bodaboda wake ni bodaboda wake kweli kweli.
Ninamjua mdada ambae anamtuma bodaboda wake kumtolea hela Kwa ATM. Kuna mmoja aliniletea bidhaa nikatakiwa nimrushie zaidi ya 300,000, nikamwambia makato upande wako. Akaniambia basi acha 'namtuma bodaboda wangu'.
Bodaboda anaweza kumsubiri mdada aoge amalize ndo ambebe. Cha kushangaza bodaboda hawa ni wakali mno kama wana deal na vidume. Hawataki kupotezewa muda na mahesabu ya gharama wanakuwa makini but kwa wadada watapigishwa round kibao malipo kiduchu lakini 'watiifu na waaminifu' kupita maelezo.
Achilia mbali wale boda wanaokunywa na wake zetu au kuwafata bar wakiwa hoi ili wawalete nyumbani wakati huo we umesafiri kikazi.
Hii connection ya wamama na wadada na bodaboda si ya mchezo.
Nawauliza Wana JF, mkeo ana bodaboda wake?
Ana dereva wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lolKuna bodaboda mmoja huku mtaani ni mbea hatari! Alikuwa na abiria wake Ana mdada amempangishia chumba mtaani! Bodaboda ndie alikuwa anatumiwa na jamaa kupeleka matumizi n.k! Bwana weee bodaboda c Kendamwambia mke wa jamaa full story kampeleka mpaka mpaka kwa huyo mchepuko! Story zmeenea mtaani nadhan saiv Hana wateja wengi maana ni mbeaaa[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] boda anakupeleka sehemu akishakushusha haondoki mpaka amuone uliemfata au aone unapoelekea woooi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lolHii kitu niliacha baada ya kugundua bodaboda wangu ni chawa wa mr
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Boda boda tunawapenda sanaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Yamekukuta au? [emoji23][emoji23][emoji23]Kuna vitu sijaweka hapo ni ukweli mtupu..
Bodaboda Acha kabisa..
Nadhani Wanawake Hawajui Ni Nini Wanataka, Fikria Uwe Tajiri Watakusaliti Uwe Hauna Kipato Pia Utasalitiwa.. Kijana Wawatu Kutoka Ukingani Fredy Ngajiro Aka Fredy Vunjabei Kashalizwana Mobeto Hamisa, anabaki Tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ndugu Tafuta PESA wanawake hata malaika wamewashindwa
Dah...mkuu...lakini kuna aina 6 za msingi za magari ya kutembelea....na bado kuna sehemu nyingine hakuna gari inayofika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]Huu ndio ujinga wanaume huwa tunafanya kwa wanawake /wake zetu, unamnunuliaje mtu mmoja gari mbili wakati watu watano wanaweza kutumia gari moja ?? Kama sio uzumbukuku ni nini ??
huyo zoba nina amini anaweza kuwa na ndugu zake huko kwenye asili yao wana dhiki kama nini !!,
Yaani unajidanganya kumnunulia mwanamke magari mawili ukidhani ndio atakupenda saaana, umelogwa tu, wanawake hawa hawaelewagi hata wenyewe wanataka nini, utashangaa pamoja na magari hayo mawili aliyonunua bado mwanamke anaweza kufanya mambo ya hovyo ikiwemo uzinifu na hili bodaboda, hala wewe umekalisha nanihii zako kama bwege, kwani gari moja haimtoshi mtu kutembelea ??
Wakina dada wengi sana wanapenda mteremko ..hivyo acha tu wahudumie.
(Kalia chuma tuondoke)View attachment 1755027
Lakini si haitakiwi kuendesha gari ukiwa umelewa???Kuna jamaa kamnunulia mkewe gari mbili
Still mmama gari hatumii
Kazi kumtuma boda Tu..
Na akilewa usiku bar boda ndo anamfata
Jamaa yupo nje ya nchi