Mkeo anavyomegwa na Wafanyakazi wenzao ofisini

Ongeza picha
 
Tumeusiwa kuoa Ila kiukweli anayeoa nyakati hizi huwa namuona shujaa hasa.
kila mtu ana matatizo yake lakini ndoa zina matatizo Yale yale kila siku.
Wakati mwenzio analalamika mwenza wake anafanya vituko hivi na vile,usiyeoa unajipa moyo kuwa ntayaweza.
ukiingia ndoani yanakukuta makubwa mpaka unahisi umebeba dunia.
Mtu anayenambia nioe huwa nina mashaka kama ana nia njema na mimi.vijana oeni,tunaishi Mara moja tu.
 
Sasa wewe ndiyo unajifariji, mwanamke yeyote hata aokoke vipi ukimuweka karibu na jinsia ya kiume lazima uchafu utokee. Wangapi huko makanisani wanafanya uchafu ?

Hapa siyo tu kuokoka bali jinsia hizi mbili zisikae karibu.
Umesahau kuongezea hapo kuwa hao wachungaji wa siku hizi wanawala sana wake za watu.
wenyewe wanajiita watu wa Mungu,huyu mkewe hata akiitwa na Pastor saa 9 usiku akaombewe yeye roho yake Safi tu.Mungu amembariki ana Imani kubwa sana.,na ni nzuri kwake.
Kitu kimoja nna uhakika nacho mategemeo makubwa ndo huwa yanatufanya tuumie zaidi yakitukuta.
 
Tunawatafuna Sana walokole kuliko unavyodhani.
The only thing anahitaji ni kumuonesha kuwa utamfichia Siri.!!
Kwa hiyo hakuna kwa kuponea

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
hii ndiyo namna yako ya kureason?
 
Hawatakaa mwanamke na mwanamme wawili ila wa tatu atakuwa ibilisi sijui naeleweka
 
Akiokoka ndio hatombwi !? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Dream on, achana na nyege kabisaaa sio kitu Cha mchezo mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…