Mkeo au mpenzi wako unampendea nini?

Mkeo au mpenzi wako unampendea nini?

Ni vizuri...mimi mtu tukiwa tu kwenye zile stage za approaching nikimuuliza amenipendea nini akaanza kujieleza sijui hiki mara hiki namuacha najua hanipendi ni tamaa tu
Kweli kabisa, wengine huja kwa hisia wakihisi ni upendo.. watu wanashindwa tofautisha sana upendo wenye matokeo ya tamaa na matamio ya ngoni, upendo wa kirafiki na unconditional Love 😊😊😊 umakini muhimu.. maana hisia huja na kupotea
 
Yeah ni kweli,,, japo ni ngumu kumtambua mtu anayekupenda from within
 
🙏.. watu wenti huwa wanaichulia easy hiyo njia .. ila ina matunda chanya sana tu. Upendo wowote wa kweli una cancel lust, na unaleta joy, unajikuta mtu kukaa nae unasikia amani ya ndani na furaha.. bila aina yoyote ya kiu ya mwili..
Umesema jambo kubwa sana

Natamani kila mtu angekuwa namtazamo huu matukio ya ukatili, usaliti yasingekuwepo Upendo ungeongoza kila kitu na Amani ingetawala

Be blessed kwa somo hili🙏
 
Back
Top Bottom