Mkeo au mpenzi wako unampendea nini?

Mkeo au mpenzi wako unampendea nini?

I just love my wife, she's very smart...
Unakuwa na mke smart anayejua kupangilia mambo ya nyumba yake 100%. Halafu bwana, kanizalia watoto wazuri....that's more than anything kwangu!

Tatizo nyama moja inakinahi wakuu.😂😂😂
 
Ulivyoanza vizuri sikutegemea nikutane na hiyo sentence ya mwisho 😀😀😂😂😂
 
Back
Top Bottom