Sax
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 3,578
- 6,740
Huu uchawi ni hatari mimi nina vinasaba kataa ndoa,lakini this time nimejikuta matatani na mtoto wa mtu anataka nisaliti kiapo...Kuna ile tu mtu unamtazama unajikuta unampenda tu basi, huna hata sababu kubwa, yaani jitu tu linakuvutia