Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Uzuri nikikoroma hasira ikiisha nakuomba msamaha na kukubembeleza tena.Mara moja moja sio mbaya kukukasirisha ukorome, ila ndio unakuwa tayari kwa matokeo kama kujikojolea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sio kila siku mnakuwa na peace tuu akuuu
Halafu nimejifunza mkitofautiana, mkaombana msamaha...mkimalizia na mechi za kirafiki ni tamu haina mfano😂