Mkeo au mpenzi wako unampendea nini?

Mkeo au mpenzi wako unampendea nini?

Kabisa mkuu, yaani hata mimi najiona nipo salama sana. Sijui ni wanawake wote au mimi tuu napenda sana mpenzi wangu awe na kaukorofi fulani hivi sio anakuwa mpoooole anaboa.
Sasa mimi ikitokea nikakukoromea si unaweza jikojolea?
Ni ngumu kuniona nimekasirika katika maisha halisi lakini yakinifika huwa ni mkali hadi najiogopa mwenyewe😅
 
Nampendea swagger zake tu chalii ya R chuga na ile show yake tuliyopiga first time ya “Wagombanao ndio wapatanao” ndio kazidi kunivuruga [emoji3059][emoji3059][emoji3059]

Halafu sio bahili kabisaa upande wa faranga[emoji39]
Na km huamini subiri afike uone nitakavyooga pesaa si eti baby Countrywide
[emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3059][emoji7][emoji8] mtoto laini laini alafu cuteeee
 
Sasa mimi ikitokea nikakukoromea si unaweza jikojolea?
Ni ngumu kuniona nimekasirika katika maisha halisi lakini yakinifika huwa ni mkali hadi najiogopa mwenyewe[emoji28]
Mara moja moja sio mbaya kukukasirisha ukorome, ila ndio unakuwa tayari kwa matokeo kama kujikojolea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sio kila siku mnakuwa na peace tuu akuuu
 
Back
Top Bottom