Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Hii inamaanisha akija mwenye dau kubwa anapata nafasi si ndio?Mimi bila kumung’unnya maneno nimempendea hela.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inamaanisha akija mwenye dau kubwa anapata nafasi si ndio?Mimi bila kumung’unnya maneno nimempendea hela.
unataka aseme amekupenda ulivyo no matter what?Ni vizuri...mimi mtu tukiwa tu kwenye zile stage za kuaprochiana nikimuuliza amenipendea nini akaanza kujieleza sijui hiki mara hiki namuacha najua hanipendi ni tamaa tu
Kwakweli natakiwa kua makini sana😂😂😂Genuine love, lina cancel kila aina ya Lust 😊😊😊... palipo na Lust ujue hapo ni miti na mtaachana
Gold digger at it's peakHii inamaanisha akija mwenye dau kubwa anapata nafasi si ndio?
LeeKwakweli natakiwa kua makini sana😂😂😂
Hatakama asiposema hivyo,,,basi aseme nafsi yake imemsukuma tu kunipenda😂😂😂😂🙈unataka aseme amekupenda ulivyo no matter what?
Yes,, tell me Ge
Kuna ile tu mtu unamtazama unajikuta unampenda tu basi, huna hata sababu kubwa, yaani jitu tu linakuvutiaYes,, tell me Ge
Wizo naona hutaki kuzunguka 😃😃,, umeenda direct to the point 😂😂🙈
Hiyo nayo ni nzuri,,upendo hautakiwi uwe na sababu kipenzi 🤗Kuna ile tu mtu unamtazama unajikuta unampenda tu basi, huna hata sababu kubwa, yaani jitu tu linakuvutia
Sema chochote mkuu😊😊[emoji848]
eeh! uwe unakuja na Pm nakupa madini 😅😅Kwakweli natakiwa kua makini sana😂😂😂
Kuna siku utaugua tako au nyoyo zitapotea ujue.Hiyo nayo ni nzuri,,upendo hautakiwi uwe na sababu kipenzi 🤗
Aisee 😃😃, sawa nitajitahidi 😅😅eeh! uwe unakuja na Pm nakupa madini 😅😅
nlikua natafta comment yako😂
Yeah,,maanake kama alisema ananipendea chuchu sa6 ikitokea nimenyonyesha zimeshuka si ataniacha😌😊Kuna siku utaugua tako au nyoyo zitapotea ujue.
Na wapenda pesa wajua huwa zinaisha
Ndio maana yakeYeah,,maanake kama alisema ananipendea chuchu sa6 ikitokea nimenyonyesha zimeshuka si ataniacha😌😊
Oukay,,nimekuelewa 😊🤗Ndio maana yake
Hiyo ni sawa na unapoingia kabla hujakaa unaonyeshwa mlango wa kutokea