Mkeo au mpenzi wako unampendea nini?

Umeshaimarika?
Maana....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado lakini nipo mbali nae sana lasivyo mambo yangekuwa sio mambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna Mwanaume mwenzetu huko anaisoma namba, Mungu msaidie huyo Mjuba huko apate macho ya kuona ananunua sex.

Mbona anajua Bro?
Alivyokuwa ananitongoza aliniambia “mwanamke kama wewe sio wa kutembea na vijana ambao hawana hela , wewe ni wa kuwa na watu wenye hela kama mimi nitakupa kila kitu” . Nikamkubalia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…