Sa itakuaje [emoji134]I just love my wife, she's very smart...
Unakuwa na mke smart anayejua kupangilia mambo ya nyumba yake 100%. Halafu bwana, kanizalia watoto wazuri....that's more than anything kwangu!
Tatizo nyama moja inakinahi wakuu.[emoji23][emoji23][emoji23]
Na yeye anaruhusiwa kutafunwa nje kwa kuvizia mkuu?!Nimeongea tu ukweli mkuu!! Papa moja unachoka sana, kuna haja ya kutafuna nje kwa kuvizia😂
Tafadhali mkuu😂😂😂Na yeye anaruhusiwa kutafunwa nje kwa kuvizia mkuu?!
Asante...bora wee msema kweliMimi bila kumung’unnya maneno nimempendea hela.
@Countrywide njoo hapaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu CW kanivuruga aje achukue maua yake kiroho swaaaafii!!!
PM moja kwa moja mpenzi.Tulio achika tunakomenti wapi?
Sasa mwanaume utampendea nini zaidi ya hela jamani[emoji4]
Hii inamaanisha akija mwenye dau kubwa anapata nafasi si ndio?
Kabisa mkuu, yaani hata mimi najiona nipo salama sana. Sijui ni wanawake wote au mimi tuu napenda sana mpenzi wangu awe na kaukorofi fulani hivi sio anakuwa mpoooole anaboa.Kuna siku waifu aliwahi kuniambia kwamba.... eti ukorofi wangu unamfanya ajione yupo salama sana...[emoji1787]
SawaPM moja kwa moja mpenzi.
Sasa mimi ikitokea nikakukoromea si unaweza jikojolea?Kabisa mkuu, yaani hata mimi najiona nipo salama sana. Sijui ni wanawake wote au mimi tuu napenda sana mpenzi wangu awe na kaukorofi fulani hivi sio anakuwa mpoooole anaboa.
Uduguu unataka tumwage mchele kwenye kuku wengi[emoji23]
Hahaha.😂😂😂Tafadhali mkuu😂😂😂
[emoji3059][emoji7][emoji8] mtoto laini laini alafu cuteeeeNampendea swagger zake tu chalii ya R chuga na ile show yake tuliyopiga first time ya “Wagombanao ndio wapatanao” ndio kazidi kunivuruga [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Halafu sio bahili kabisaa upande wa faranga[emoji39]
Na km huamini subiri afike uone nitakavyooga pesaa si eti baby Countrywide
[emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maua nimeyapokea na kuyanusa. Cute wife is a real deal, very intelligent and down to earthWatu weweeeeeeee na wenye babee zenuuu, Countrywide njoo hapa uduguu upokee maua yakooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kula nyama hadi kieleweke mkuuSa itakuaje [emoji134]
Mnatufanya tuogope kuingia huko ndoani [emoji28]Ni kula nyama hadi kieleweke mkuu
Mara moja moja sio mbaya kukukasirisha ukorome, ila ndio unakuwa tayari kwa matokeo kama kujikojolea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sio kila siku mnakuwa na peace tuu akuuuSasa mimi ikitokea nikakukoromea si unaweza jikojolea?
Ni ngumu kuniona nimekasirika katika maisha halisi lakini yakinifika huwa ni mkali hadi najiogopa mwenyewe[emoji28]