Mkeo au mpenzi wako unampendea nini?

Mkeo au mpenzi wako unampendea nini?

Ananifurahisha sana alivo flexible kitandani karibu style zote anaweza ni swala tu la kuonesha ishara, huyo kabinuka nayo. Kingine ni mpishi mzuri sana, kuanzia maharage yenye tangawizi na nazi hadi maandazi ya chumvi na mchicha wenye karanga laiini. Hatari sana halafu ni pisi kali. Hajawahi kutumia k yake kama siraha hata muwe na ugomvi wa kujaa godauni zima
 
Back
Top Bottom