cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Napambana si unajua bro wangu gentleman pisi zinamgombea, mchuano ni mkali kuwa mvumilivu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Napambana si unajua bro wangu gentleman pisi zinamgombea, mchuano ni mkali kuwa mvumilivu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hujapataa bado dear.
Dada mafusho yote Yale😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣!
Tatizo nyotraaa sinaa mdogo wangu sijui nakwama wapi lol!!😊Dada mafusho yote Yale😂😂😂
Safari hii Itabid tukalale hukohuko baharini 😂😂😂Tatizo nyotraaa sinaa mdogo wangu sijui nakwama wapi lol!!😊
Kwakweli dawa ni kulala baharini tu hali sio shwari kabesaa!!Safari hii Itabid tukalale hukohuko baharini 😂😂😂
😂😂Kwakweli dawa ni kulala baharini tu hali sio shwari kabesaa!!
Sasa unaangalia nini, si unitaje tu? 🥹🥹Sijawai, tulia tuangalie vizuri tusije kubeba maronya ronya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kisa keleleKwangu mimi hakuna zaidi ya kelele zake akiwa mbali basi namiss yale makelele lakini natafuta sababu nimuache
Huu sio mwandiko wake ningejualabda ndio mimi mume, sema hujui tu ID yake ya Jf [emoji28][emoji28][emoji28]
mwambie anitolee lock [emoji357] basi, ananihangaisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Antonia njoo ankoli wa bandari huyu hapa kafikaaaaaa udugu wangu, kazi kwako kujibrand [emoji16]