Sio kwamba ni wanawake peke yao, ukiangalia ratio hata bila kuhesabu utaona wanawake ndio wengi. Kama ukibahatika kuwauliza wanaume waliopo utagundua nao hawapo jumla jumla ila wanapima joto kiaina.Another dimension..asante japo its too general.Sitaku kuamini kuwa kwenye DECI walikuwa wanawake tu.
Sitaki kuamini kuwa waliokufa kule kwa Kibwetere walikuwa wanawake tu.Nasita kuamini kuwa waliokuwa kwenye cults deaths kule Jonestown - Guyana walikuwa wanawake tu! I could go on and on - hadi kwa akina Kakobe, na wengineo
Charity DC amekuwa akipreach bedroom diplomacy natamani kweli atuonyeshe ndo ikoje maana angesaidia sana hapa.Dada WOS, Kwa mtiririko wa hizi post nimepata jibu moja tu kwa swali la kwanza;WANAUME WANAOGOPA KUFA.
Swali la pili bado jibu sijaliona,sijui washawishiwe vipi!
Hata mimi huwa wananishangaza sana.Nimegundua kwamba wanaume ni waoga kulijko wanawake.
Dada WOS, Kwa mtiririko wa hizi post nimepata jibu moja tu kwa swali la kwanza;WANAUME WANAOGOPA KUFA.
Swali la pili bado jibu sijaliona,sijui washawishiwe vipi!
On A SERIOUS NOTE....
Chris na Fidel...
hivi mnaogopa nini hasa?
kama mu waoga hivyo kwanini bado kamchezo hamuachi?
Woga huu ungeelekezwa katika ku abstain hamuoni tungepunguza kiwango cha maambukizi na Tanzania bila UKIMWI ingewezekana?
ACCORDING TO ME!...mtu ataishi kwa matumaini AKISHAJUA HANA VIRUSI VYA UKIMWI!bht,
Sifichi kichwa, tatizo langu ni majibu ya kumwambia mtu ataishi kwa matumaini! Frankly speaking sielewi maana ya neno "kuishi kwa matumaini" - To me that sounds like "a death row"!
ACCORDING TO ME!...mtu ataishi kwa matumaini AKISHAJUA HANA VIRUSI VYA UKIMWI!
hainiingii kichwani kwamba UNA VVU,THEN UNAISHI KWA MATUMAINI!I CAN'T CONNECT THEM DOTS,lol
Kukataa kupima tu ndo wanaonekana waoga? Mbona usiku kitu kikigonga nje mama anakimbilia uvunguni wakati mzee anaende mlango kupambana. Hamjawajulia tu ndo maana mnawasha mto bila sababu wakati maji ya kuuzima yamekatika.
Hilo limejibiwa sana (red). Hebu jaribu kusoma tena. Hujakutana na kitu kinaitwa bedroom diplomacy?[/QUOTE]
Charity DC amekuwa akipreach bedroom diplomacy natamani kweli atuonyeshe ndo ikoje maana angesaidia sana hapa.
DC please baba nakuomba niko chini ya miguu yako (najua umevaa sarawili) tupe japo kiduchu huko kwingine tutaweka vetu itakaa tu!!
Plzzz DC naomba tufunde kidogo hii kitu BD.
Hahaha kazi kweli kweli,juzi nimepima damu hahaha nimepewa majibu kesho yake ile napewa majibu kitu cha kwanza ilikuwa ni kuangalia kwenye HIV antibodies du naona Sijui Elisa test na kipimo kingine nimekisahau jina jibu NEGATIVE.baada ya kutoka hapo ndo sasa nikaanza kuangalia haemoglobin,sijui sedimentation rate na mengineyo.Mimi nikapime? Labda mnibebe kwa greda la Konoike nikiwa nimefungwa pingu za Jerry Muro Miguuni na mikononi!
Charity DC amekuwa akipreach bedroom diplomacy natamani kweli atuonyeshe ndo ikoje maana angesaidia sana hapa.
DC please baba nakuomba niko chini ya miguu yako (najua umevaa sarawili) tupe japo kiduchu huko kwingine tutaweka vetu itakaa tu!!
Sifichi kichwa, tatizo langu ni majibu ya kumwambia mtu ataishi kwa matumaini! Frankly speaking sielewi maana ya neno "kuishi kwa matumaini" - To me that sounds like "a death row"!
[Plzzz DC naomba tufunde kidogo hii kitu BD.
ACCORDING TO ME!...mtu ataishi kwa matumaini AKISHAJUA HANA VIRUSI VYA UKIMWI!
hainiingii kichwani kwamba UNA VVU,THEN UNAISHI KWA MATUMAINI!I CAN'T CONNECT THEM DOTS,lol
Ni katamu kweli kweliiiii.......
Kimsingi gonjwa hili limekaa mahali pabayaπ‘
haya mambo wengine hatuyapendi kabisaaaaaaaaaa ukisha pima ukijua itakusaidia nn?
Geoff kabla ya ndoa yako hamkupima?kupima ni muhimu ili kujua afya zenu,mimi huwa nasema hata walio SeroPositive kwa sasa na wao kuna siku hapo nyuma walikuwa seroNegative.Ni muhimu kujua immunity.Ila kusema ukweli unatakiwa uwe tayari kupokea majibu.biashara ya kupima MIMI SITAKI KUISIKIA!niliwahi KUDANGANYIKA nikapima lakini kabla ya kupima dokta aliniuliza UNAPIMA ILI IWEJE?...UMEFANYA NINI KIBAYA/AU UMEKANYAGA WAPI AMBAPO HUJIAMINI?......akanipa muda ''KIJANA,NENDA HOME KAFIKIRIE MARA MBILI,UAMUZI UNAOTAKA KUUCHUKUA NI MGUMU MNO..''
NIKACHAPA RABA,MPAKA KESHO
True bro,
Ukipima na kukuta upo +ve - naamini kila siku utakuwa unaota makaburi na majeneza and all sorts of nightmare! Wengi nadhani wa-turn into nusu-mfu nusu-mzima - hauwezi kuishi kwa matumaini wakati you are truly sure (ceteris paribas) kwamba in the next 3-5 years watu watakulia mchele na kukunywea bia!
halafu kibaya zaidi....!True bro,
Ukipima na kukuta upo +ve - naamini kila siku utakuwa unaota makaburi na majeneza and all sorts of nightmare! Wengi nadhani wa-turn into nusu-mfu nusu-mzima - hauwezi kuishi kwa matumaini wakati you are truly sure (ceteris paribas) kwamba in the next 3-5 years watu watakulia mchele na kukunywea bia!
Hahahaha ndo hivyo unaishi kwa matumaini kwa kudra za mwenyezi Mungu baada ya kupima.
Yaani ukipita barabarani unayaona masanduku unajisemea moyoni any time nitawekwa mle.
Alafu baba_Enock vp Billionare clup siku hizi hupiti piti? Juzi kati nilikuwepo pale kula beer za 2000 samahani kwa offtopic.
Mama 5J,Hahaha kazi kweli kweli,juzi nimepima damu hahaha nimepewa majibu kesho yake ile napewa majibu kitu cha kwanza ilikuwa ni kuangalia kwenye HIV antibodies du naona Sijui Elisa test na kipimo kingine nimekisahau jina jibu NEGATIVE.baada ya kutoka hapo ndo sasa nikaanza kuangalia haemoglobin,sijui sedimentation rate na mengineyo.
Inahitaji MOYO,Mmme wangu na yeye huwa anapima bila matatizo,ila wanaume wengine wako kama wewe.Tatizo huwa ni pale mna mgonjwa anahitaji damu hahaha nakumbuka kaka zangu huwa wanakimbia.