Mkeo/mpenzio afanyeje ukubali.....

Mkeo/mpenzio afanyeje ukubali.....

Suala la HIV na UKIMWI na kupima na kupokea majibu ni gumu sana kwa kweli,na ugumu unakuja pale mtu unapoambiawa kuwa wewe ni seropositive inamaanisha kuwa ni kifo tu,ingawa kila nafsi itaonja mauti lakini HIV ni suala zito sana.
Mbinu ya kutumika hapo ni kuwaandaa watu kisaikolojia pia kwa jinsi UKIMWI ULIPOKIJA NA jinsi ulivyosemewa kwenye media ni kama ugonjwa wa aibu,sasa basi ili kufuta hilo vichwani mwa watu ili waone UKIMWI ni kama labda magonjwa mengine yasiyokuwa na tiba mfano cancer na kadharika.

Hapo mimi ndio nachoka kbsa mbona mtu akiambiwa na presha-low/hyper blood p. au Kisukari haogopi kivile?
 
Wengi wanaamini maambukizi ya ukimwi 99% yanatokana na ngono tu haya maambukizi kwa njia nyingine jamii sasa imesha elimika na inajizuia sana hata wale mangariba wamesha elimika siku hizi.

Laiti ungejua uzembe ulioko katika hospitali zetu.
 
Mhhh! labda kama ni Dr. lakini sioni ubaya wowote wa Mama mwenye mali zake kuzicheck kama kila kitu kiko sawa.

Yaani BAK ifanyike kama kampeni kina mama wapewe mafunzo ya jinsi ya kupima VVU na tupatiwe vifaa na uwezo wa kusoma majibu tu- masuala ya dawa na tiba tunawaachia wenyewe wenye fani zao. Pengine hamtaogopa sana au?
 
Hapo mimi ndio nachoka kbsa mbona mtu akiambiwa na presha-low/hyper blood p. au Kisukari haogopi kivile?
Tatizo ni jinsi UKIMWI uliyokuwa mediatized.Kwa hiyo hulka hiyo ikajengwa kwenye mind za watu na kuuona UKIMWI ni ugonjwa wa aibu na wa ajabu.
Kuna magonjwa mengi tu hayana dawa ila mtu akiambiwa akafanye scanning ya kuangalia cancer wala haogopi,mwambie akapime HIV.
 
Laiti ungejua uzembe ulioko katika hospitali zetu.

Hospitali zetu zinatisha sana. Unatakiwa uombe Mungu kila siku ili usikanyage huko wewe na wote uwapendao.
 
hahaaaaa are you seriously asking Fide this qn???

Mbona hujaweka wazi wewe kama huwa unapima au lah unaweza ukapima ukaacha majibu kwa Dr.

Simwamini binadamu mwenzangu,hata siku moja.Nafanya hivi for the best of my kids.

Hehehehe lol kazi kweli kweli hapo hapo kuna wana ndoa wanatumia condom hivi hivi hawaaminiani.
 
Yaani BAK ifanyike kama kampeni kina mama wapewe mafunzo ya jinsi ya kupima VVU na tupatiwe vifaa na uwezo wa kusoma majibu tu- masuala ya dawa na tiba tunawaachia wenyewe wenye fani zao. Pengine hamtaogopa sana au?

Labda MJ1, lakini hili la Wanaume kuchekiwa lina matatizo sana sijui ni kwanini. Wengi tunajiamini tuko fit siku zote kitu ambacho si cha kweli kabisa.
 
Mbona hujaweka wazi wewe kama huwa unapima au lah unaweza ukapima ukaacha majibu kwa Dr.

ni utaratibu wa kawida kucheck afya yangu mpwa!!!!!!

jaribu kuwa unafanya hivo uone starehe yake Fidel.......
 
Hofu ya Kupima mara nyingi hutokana na kazi za nje (vimada) ambao wanaume huwa nao. nadhani hii ni mbinu vile vile ya kumweka mwenzio kwenye mstari akishapima akajikuta yupo fresh anaweza akaacha kazi za nje.

Nimefurahi mpanuko huu wa matumizi ya lugha!

Well yapo maeneo ambapo mwanamke anakuwa kikwazo; hataki kwenda kupima sasa je majibu ni hayo hayo ama kuna sabu nyingine?😀
 
ni utaratibu wa kawida kucheck afya yangu mpwa!!!!!!

jaribu kuwa unafanya hivo uone starehe yake Fidel.......
Hebu muelezee na mwenzie Iribini.wenyewe kucheki afya mpaka wakianza kuugua.
 
ni utaratibu wa kawida kucheck afya yangu mpwa!!!!!!

jaribu kuwa unafanya hivo uone starehe yake Fidel.......

Majibu ya HIV huwa unachukua au unamwachia Dr. atajijuaga mwenyewe huko huko?
Mimi najiamini nipo fit kabisa sihiitaji Dr. anipime maana nipo fit.
 
Mi naamini Ukimwi ungekua kama kipindupindu yani unagonga leo kavu kavu baada ya siku mbili dalili zinaanza watu wote wangetumia kinga na kua waangalifu!! hili swala la kukaa miaka mpaka kumi ndo dalili zinaaanza ndo inachangia watu kujiona wako fiti sana!!
Kwenye swalaa la kupima ni vyema lakini bado ishu ya "the way forward bado watu wengi hawajaielewa" ndo maana mtu anaona no need ya kupima!!
 
Hebu muelezee na mwenzie Iribini.wenyewe kucheki afya mpaka wakianza kuugua.

huyo kaaangu kichwa ngumu kweli, dawa yake moja...ntakuletea sindano umnyonye damu wakati yuko pombe then tutaipeleka Angaza....

BTW: naiona familia hapo....
suprize y aleo nimeilaani dear!!! why didi u do that to me???
 
Majibu ya HIV huwa unachukua au unamwachia Dr. atajijuaga mwenyewe huko huko?
Mimi najiamini nipo fit kabisa sihiitaji Dr. anipime maana nipo fit.

sasa kama sitaki majibu ya nini nisumbuke kwenda kupima jamani..
nitafanya assumption tu kuwa 'am fine'
 
Back
Top Bottom