Mkeo ni mzazi wako

Aisee!
 
Mtoa maada naona utakua umelewa sio bure
 
Hakuna sababu maalum ya kufanya hivyo ama ni ka tabia tu kamejijenga kuwa tunapokuwa pale basi lazima hapo pahusike....!
Unashauri nini kifanyike?
 
Moja Kati ya Andiko la Kipuuzi sana, We Unaweza kulala na Mama yako, Usifananishe mama na Mke, Kila Mtu na Nafasi yake na Haziimgiliani wala kufanana

na Mkeo kuitwa kwa Jina lako Kwani Hana Baba yake mila za Kizungu mwenyewe unaona Ndo Akili kumbe Mavi ya Popo tu

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Mkeo amekutenda nini mkuu?
 
Kwa mkeo unanyonya au unapapasa? Mkeo anatoa maziwa kama ukivyonyonya kwa mamako.
Umeniudhi sana. Tofautisha kunyonya na kuchezea matiti.
 

Siamini mmefika huku!

Mama hapandi wala hashuki cheo. Mama ni Mama. Hana mbadala.

Mke hupanda cheo kuwa Bi Mkubwa na hushushwa cheo kuwa Mtalaka.

Wawili hawa Mzani wao ni kaskazini na kusini, Magharibi na Mashariki.

Hala hala ukitumia mzani mmoja kuwapima ndio tutasikia Mapenzi yanaua. Ujue!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…