Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Af sio za hela yake am shua of zat😂😂Pombe za kukeshea kirisimazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Af sio za hela yake am shua of zat😂😂Pombe za kukeshea kirisimazi
Mtoa uzi tengua kauli kabla sijakasirika.Wanaume wote walio-oa, wanatakiwa watambue ya kuwa wake zao ni wazazi wao. Na hii ni kutokana na kunyonya maziwa ya mama (mke). Ndio maana sehemu zingine, mwanaume anaitwa ni mtoto mkubwa/wa kwanza kwa mkewe. Na hii imethibitika katika jamii zetu, mke kuitwa mama fulani (jina la mume). Mfano, kama mwanaume anaitwa Hussein, mkewe kabla ya kupata mtoto ataitwa mama Hussein.
Kwa hiyo wewe mwanaume, mkeo ni mama yako. Kama hutaki, acha kunyonya maziwa.