Mkeo ni mzazi wako

Mkeo ni mzazi wako

Kisheria ukimuita mwanamke mama umevunja ndoa moja kwa moja.
 
Wanaume wote walio-oa, wanatakiwa watambue ya kuwa wake zao ni wazazi wao. Na hii ni kutokana na kunyonya maziwa ya mama (mke). Ndio maana sehemu zingine, mwanaume anaitwa ni mtoto mkubwa/wa kwanza kwa mkewe. Na hii imethibitika katika jamii zetu, mke kuitwa mama fulani (jina la mume). Mfano, kama mwanaume anaitwa Hussein, mkewe kabla ya kupata mtoto ataitwa mama Hussein.

Kwa hiyo wewe mwanaume, mkeo ni mama yako. Kama hutaki, acha kunyonya maziwa.
Mtoa uzi tengua kauli kabla sijakasirika.
 
Back
Top Bottom