Mkeo ni wa kundi gani kati ya haya?

Hahahah kwahio una pray for my downfall sio?....lol!!!

Unajua kupishana kupo and it happens sababu sie ni binadamu. Kuna kutofautiana kimtazamo. But how do we handle it? How responsible do you feel ukimkwaza mwenzi wako au ndio atajijua mwenyewe? Kusije kukawa na excuse ya kijinga ambayo unaitumia kufanya mambo ya makusudi au kukwepa majukumu yako. Thats not acceptable..Tatizo pia wanawake wa sikuhizi hamfundishwi how to behave toka mkiwa wadogo.

BTW Im not speaking of an angel kind of patner but a woman that can get down on herself and realize that relationship is all about being happy and choose to stay on that lane like for real. A woman who craves to fulfill her mans desires and feels happy about it. A woman who makes it easy for her man to feel like a man whenever she is around. A woman who knows how to treat a man regardless of any other petty stuffs that she might be having.

Nikikuuliza why majority of Tanzanian women behave so well kabla hamjaolewa then suddenly change after getting married and becoming family women sijui utakuwa na la kuniambia?
 
Kwahiyo Extrovert umeamua kuniandikia gazeti🤣🤣🤣haya sawa ngoja nianze kulisom maana sijalisoma bado😅😅
 
But hivi ni vitu ambavyo vinatakiwa kuwa addressed! Hatuwezi kuendelea kuwa na kizazi cha kijinga namna hii. Personally siwezi kumlea binti yangu kishenzi kiasi kwamba ashindwe kuwa responsible na kujua jinsi gani anatakiwa a behave mbele ya mwanaume. Watoto wa kike wana bully kaka zao majumbani and it goes all the way like that mpaka wakikua wanakuja kuleta mambo ya kijinga hata wakitoka nje ya wigo wa wazazi.
 
😳😳

Oky

🥂

☹️Sina.

🥂🥂
 
Aiseeee ninaye kundi namba moja. She is so humble. In fact ana sifa zoote za wife material ninazozitaka.

Mwakani akimaliza tu chuo navuta ndani...
Wanabadilika mdogo wangu

Angalizo: Ni vyema hapa wachangie wanaoishi na wake zao
 
Jamaa yangu aliachana na mwanamke aliyezaa nae akapata mwanamke anayeangukia kundi namba moja hapo juu
Ghafla namba imegeuka anawaza kurudi kwa siri kwa mke wa kwanza awe anajipooza japo hapangi kurudiana nae

Anaamini mwanamke mmoja na akijua yuki mmoja ni stress
 
Huyo patner wako simjui ila theres a possibility amekulia kwenye mazingira ambayo wazazi hawakuwa na maelewano mazuri aidha mzee alikuwa bully au irresponsible father hivyo akawa mishandled.

Mfano hai ni bwana Platinum..Hawezi kuwa na adabu na mwanamke hata siku moja and that stems from the family grounds. Situation ingekuwa very different kama angekulia mazingira ambayo wazazi wana mahaba sana.

Hio kukuambia kauli mbaya shows that bad boy is a narccisist! Unapo mu undermine mtu maanake unamdhulumu haki yake ya uhuru na kumtia katika lindi la mawazo kwamba he/she is worthless. What happens mtu atavumilia ila it will reach a moment atakuwa defensive na hapo ndio ile dhana ya kiburi huanziaga.

Hakuna kitu kibaya kama kum downgrade patner wako. Verbal abuse is the worst thing you can ever do to your patner. Japo wanaume wengi huwa ndio wahanga wa hili ila tunakufaga na tie shingoni.
 
Hahahah alihisi kaopoa malaika? Hao wadude huswitch codes tu kulingana na muelekeo wa satellite 😁😁😁!!!

All in all nashauri aanze kum treat like a woman supposed tu. Put her in her place kilazima by the end watakaa sawa tu. Shida ni ile mijanamke ambayo haiambiliki.
 
Tatizo yeye na mke wa kwanza walioana wakiwa vijana sana, hata sababu za kuachana sio za maana na wote wanakiri ni utoto tu hapo ndio wanapoanza kutamaniana

Sasa jamaa kwa moto wa ndani ya nyumba anahisi anaweza kuwa anajipoza nje kwa yule wa kwanza

Kuna wakati wa kwanza aliomba msamaha kabla hajamuoa wa pili akamgomea maana aliona huyu wa pili amekaa kwenye namba moja zaidi, dah alivyobadilika anajuta sana[emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]dah uzi mtamu huu
Wangu yupo kundi la pili,noma sana,
Ukweli mtupu,thank God naishi mbali na familia,ningekuwa nimeishakuwa mkaazi wa segerea kwa mauaji
 
Sema kuna namna jamaa atakuwa anakosea kuwa handle hao wanawake. Kaa nae vizuri msome utaona tu kuna mahala as a man anakosea. If you treat a woman right hawezi kukuletea ngebe unless awe na tatizo zaidi ya fedha.🤣🤣🤣

Unaona hawa wote wanaonipondea hapo chini kuwa mie mkatili and mkoloni ila trust me i might likely be the most satisfying patner that they could ever have!!! 😂😂😂

Put a woman in her place atakuheshimu always. Mwanaume lazma uwe kama linesman, just raise the flag whenever neccessary!
 
Ntamshauri nini wakati hata mimi moto unaniwakia[emoji23][emoji23][emoji23]tukionana kufarijiana ndio ananipa stori hizo

Kuna mdau hapo juu amesema bahati nzuri anaishi mbali na familia angeshakua segerea nimecheka sana, wakati jamaa yangu anawaza kujipozea kwa X wake mimi nawaza kuihama familia, ntakua nakuja kuwaona tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema kuna namna jamaa atakuwa anakosea kuwa handle hao wanawake. Kaa nae vizuri msome utaona tu kuna mahala as a man anakosea. If you treat a woman right hawezi kukuletea ngebe unless awe na tatizo zaidi ya fedha.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahah mkubwa umetisha sana, kwahio wote mpo kikaangoni sahivi ila mnarukaruka tu 🤣🤣🤣🤣🤣!!!

Bora jamaa arudi kwa EX-Wife tu akajipe likizo ya stress! Sema huyo EX hakuolewa tena au ndio kuvunja miko ya RAP? 😂😂😂
 
Nadhani yule demu karma inamtafuna bado hajaolewa, sababu yeye ndio alimuacha jamaa kienyeji sana..

Ilivyo ni kwamba alikutana na jamaa akiwa anasoma chuo fulani, wakati jamaa anafanya kazi tayari, alipopata ajira mkoa mwingine ndio akakurupukia ujana na kujiona kama amejiwahisha tu kwenye ndoa, akaanza kujirusha nk jamaa akaamua kushika 50 zake

Demu akasikia jamaa kapata mwanamke akajirudi kuomba radhi jamaa akaona akimsamsamehe huenda atamtenda mazito zaidi akagoma akaoa mwingine

Kwahiyo demu yupo tu, na huku ndani jamaa kumewaka wote hawaelewi sasa hivi waibane au warudiane[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya maisha haya
 
Huyo Ex wife wake alikuwa mpumbavu kumbe 🤣🤣🤣!!!

Nashauri wamegane kisela tu maana hamna namna ingine. Mwanamke atajifanya namba 1 akiwa anataka kurudishwa kwenye channel tu ila mbali na hapo ushubwada ule ule utatokea. Unless kama aliyafanya akiwa na influence ya utoto.
 
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…