Mkeo ni wa kundi gani kati ya haya?

Mke wangu kundi la pili.
Hawezi kukiri kosa hata kama sababu zipo wazi kama kakosea. Kuomba msamaha sikumbuki ni mwaka gani na anachotaka yeye ukimshauri kinyume chake fahamu mada itabadilika na utaonekana mkosaji. Kususa na kuchukia jambo dogo tu ni kawaida saaana. Ila nikimwambia ntakuacha atalia huyo hadi umuonee huruma hahahaha.
Binafsi kuna baadhi ya mambo yupo sawa sana na huwa sioni taabu ya vitabia vyake.
Ila ndio vile nshamzoea na maisha yanasonga.
 
Ninaitumia hii njia. Mark my words inasaidia sana.

Unless utapoteza heshima ya baba nyumbani na uchumi utavurugika sana kisha na yeye atakukimbia...

Anavyopenda mabifu ukimzingatia utakosa hata kubarikiwa

Atakuvurugia misingi ya maisha. Utazeeka umeadhirika....

Mbaya sana ukiweka mzigo wa namba 2 ndani karibu unastaafu....maana ni wengi yamewakuta wengi...


Dawa yao wa kundi la pili kuwaonesha ulichofanya ukiwashirikisha jambo kabla unaleta mvurugano.
It
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kiukweli sidhani kuna mtu anayependa kuwa namba mbili, inatokea tu
muhimu mmalize tafauti zenu wenyewe.mnawekana shonde wenyewe mnaliondoa wenyew inakera jambo kidogo kesi mnaitwa hili halina afya kwenye uhusiano
 
Na wanawake ambao muda wote wanataka muwe mnapetipetiana , wanaingia kundi lipi ?
 
Niko namba 1 hapo ila ndo mpaka unikojo...... ukichelewa naswitch no 2 hii hata Mi mwenyewe najiogopaga sometimes

Lakini kwa ujumla maisha yangu ya mahusiano asilimia nyingi naishi kwenye moja,
 
Kuishi na mwanamke ni simple sana. Ni vile tu wewe utataka iwe rahisi..
 

ni ngumu
 
Aiseeee ninaye kundi namba moja. She is so humble. In fact ana sifa zoote za wife material ninazozitaka.

Mwakani akimaliza tu chuo navuta ndani...
Hahahaha, safi Fanya hivyo , usisahau kuleta kadi ya harusi nikuchangie Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…