Mkeo ni wa kundi gani kati ya haya?

Mkeo ni wa kundi gani kati ya haya?

Hao namba 2 ubaya wao wengi ni impostors at first sight.

Ukianzana nae anakuwa kama namba 1 ila mkishafika mbali sana anakuchenjia gia angani anaanza kuishi katika tabia zake halisi ambazo ni za namba 2!

Hapo ndio utajua hujui kudadadeki[emoji23][emoji23][emoji23]!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huyo unayemuongelea ni Mimi kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huyo unayemuongelea ni Mimi kabisa
Hahahah bora umejisanua 🤣🤣🤣 ila acheni hio michezo bana! We kuwa namba 2 tu ili mtu afanye maamuzi sahihi tu!
 
Hahahah bora umejisanua [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila acheni hio michezo bana! We kuwa namba 2 tu ili mtu afanye maamuzi sahihi tu!
Mimi sio muongeaji aiseee Ila huwa namsoma mtu anataka Nini

Mara nyingi ukimya wangu huwa unatafsiriwa "uzuzu", pale sasa ndio nabadilika, I wish nipate mtu anielewe
 
Na huo ndo uanaume.Testosterone inamfanya mwanaume awe ambitious and spirit of daring na kuwa less informer.Hutakiwi kumuinform kila kitu atavunja hizo traits nilizotaja.
Eeh nafikiria ni approach nzuri zaidi, aoneshwe matokeo tu sio process maana anaweza kukukatisha tamaa.
 
Hahahah bora umejisanua [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila acheni hio michezo bana! We kuwa namba 2 tu ili mtu afanye maamuzi sahihi tu!
Sasa nakuwa namba moja kweli Ila unakuta mtu anakulazimisha uhamie namba mbili
 
Umeongea vizuri,kiume kabisa Kuna mtu I wish asome ,Mana anajuaga mke Ni msukule
Yani mwanaume ukiwa na hizi akili za huyu Kaka utaishi miaka mingi anaona changes kwa mkewe Ila anajuwa fika lazima iwe hivyo sababu ya majukumu na watoto kuongezeka .
Kunywa soda kwa mangi
Hapo hamna mtu ataacha vumilia, ila sio mambo ya makelele 😂😂😂
 
Hahahah hio tabia ya mwanamke akitaka lake (Mawindoni)!!! Akipata tu anahamia namba 2 🤣🤣🤣 utapeli tuu!!

Ni nini inakufanya uamie Line 2?
Sasa nakuwa namba moja kweli Ila unakuta mtu anakulazimisha uhamie namba mbili
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Hahahah hio tabia ya mwanamke akitaka lake (Mawindoni)!!! Akipata tu anahamia namba 2 [emoji1787][emoji1787][emoji1787] utapeli tuu!!

Ni nini inakufanya uamie Line 2?
Vile unakuta mtu anakupuuza, Kuna vitu vinapungua so naona km ananidharau kwa kuwa ni mkimya ,Basi naanza kuongea

BUT nakuwa na siku maalum ya kuongea sio daily sasa
 
aisee mke wangu ni kundi la pili kabisa kama unamjua vile
 
Hao namba 2 ubaya wao wengi ni impostors at first sight.

Ukianzana nae anakuwa kama namba 1 ila mkishafika mbali sana anakuchenjia gia angani anaanza kuishi katika tabia zake halisi ambazo ni za namba 2!

Hapo ndio utajua hujui kudadadeki[emoji23][emoji23][emoji23]!!!
Unapiga chini hakuna kupelekeshana
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Nkijibiwa fupi fupi natafuta angle inayomtouch mpaka atapiga simu au kuandika maelezo yanayoeleweka.
Utajua hujui🤣🤣🤣
 
Sindio akili za wanawake wa Kileo hizo! Nimesaidia tu kuwafikishia ujumbe mapema🤣🤣🤣!!!

Maana miongoni mwa maswali ya awali kipindi cha kufahamiana ni "unajishughulisha na nini?" sawima
 
Huwezi kuwa zote, wewe ni 2 sema huwa unafake to impress 🤣🤣🤣

Katika vitu nisivyoweza ni kuigiza.

Mimi shida inayonisumbua ni mood kubadilika kuna wakati nina furaha lkn mood ikichange napenda nikae tu pekeangu.😀
 
Katika vitu nisivyoweza ni kuigiza.

Mimi shida inayonisumbua ni mood kubadilika kuna wakati nina furaha lkn mood ikichange napenda nikae tu pekeangu.😀
Hahahah una moods sana eeh, sasa itakuwaje kama unanuna muda mchache kabla ya mtanange wa Baba na Mama FC?
Kwahio mtu akitaka kuku comfort unamaindi au?
 
Hahahah una moods sana eeh, sasa itakuwaje kama unanuna muda mchache kabla ya mtanange wa Baba na Mama FC?
Kwahio mtu akitaka kuku comfort unamaindi au?

Na ndio maana hapo juu nimesema tabia yangu inategemea hasa mtu nilienae.

Mimi sipendi mtu ambae yupo negative. Kuna mtu yeye kila kitu anapinga au ana dharau mtu wa hivi ananivuruga hatari nikiwa nae huyu full mood kuharibika😀

Mimi ni introvert na sisi introverts hatupendi kuwa discouraged na mambo kama hayo. Mtu ambae ni positive ktk mtazamo na asie na dharau huwa ananikosha sana sipendi nimkwaze hata kidogo.
 
Katika vitu nisivyoweza ni kuigiza.

Mimi shida inayonisumbua ni mood kubadilika kuna wakati nina furaha lkn mood ikichange napenda nikae tu pekeangu.[emoji3]
Kuigiza ni kipaji hata me cwezagi!
Ukinifurahisha nafurahi ukinikera nakasirika!
Eti uniudhi AF nkuchekee cwezi kuiga kabisaaaaa
 
Back
Top Bottom