Mkeo ni wa kundi gani kati ya haya?

Mkeo ni wa kundi gani kati ya haya?

Na ndio maana hapo juu nimesema tabia yangu inategemea hasa mtu nilienae.

Mimi sipendi mtu ambae yupo negative. Kuna mtu yeye kila kitu anapinga au ana dharau mtu wa hivi ananivuruga hatari nikiwa nae huyu full mood kuharibika[emoji3]

Mimi ni introvert na sisi introverts hatupendi kuwa discouraged na mambo kama hayo. Mtu ambae ni positive ktk mtazamo na asie na dharau huwa ananikosha sana sipendi nimkwaze hata kidogo.
Wewe tunafanana kabisa
 
Kuigiza ni kipaji hata me cwezagi!
Ukinifurahisha nafurahi ukinikera nakasirika!
Eti uniudhi AF nkuchekee cwezi kuiga kabisaaaaa


Yani ni ngumu wanaweza tu wenye vipaji vyao.
 
Tena wanakuwaga waongo waongo wasaliti drama nyingiiiiii lkn ndio wenyewe wanawaona ndio no.1 hao 🙄
[emoji3][emoji3][emoji3]kwakweli.

Huwezi kuwa no1 maisha yako yote aisee vinginevyo uwe tu muigizaji.
 
Namba mbili wapo wengi balaaa


Nilivyooa ndo nikathibitisha ukweli wa kuwa mwanamke hakosei ukitaka Vita na mkeo wewe mwambie kakosea sehemu flani...

Wife bwana chochote unachomwambia ameteleza ujue lazima atakirudisha kwako mpk saivi imebidi uwe utani tu


Mke maji ya kunywa ulikumbuka kuchemsha? mtu mwenyewe hata nikichemsha hunywi.[emoji3][emoji3]

Nimerudi zangu home saa 7mchana badala ya saa 9/10 niliyozoea kurudi.Mke chakula tyr?Mke :Bado,mtu mwenyewe wewe hutabiriki unarud sa ngap nilichelewa kidogo kupika.

Mke umesahau kumpigia mama ulisema utaongea nae leo?wewe huyo hujanikumbusha...[emoji38][emoji38][emoji38]

Mimi:mke punguza sauti ya TV Kuna kazi inachanganya nahitaji umakini kdg,wewe hata ukiwa free hupendi niangalie movies za kikorea...

Mke chumvi leo imezidi kdg wewe huyo unakuja kunipigisha story wakati napika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimeamka zangu asubuh najiandaa kwenda kwenye mishe nikaanzisha story mke umeamka tyr?mbona mapema?Wewe huyo unazunguka zunguka chumbani mpk usingizi umekata

Juzi kadondosha grass ya maji mi nikageuka tu nikamuangalia nikampa pole nikasikia wewe huyo unaniangalia sanaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Maskini hata hajui keshazoea mi saivi akiboronga namwambia sio kosa lako mi Mimi huyo nimesababisha,anachekaaaa balaaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ni jambo jema brother kuujua udhaifu wa mkeo! Afu mbona kama unanisema mimi hahahaa
 
.....................Sikuwahi kuchunguza sana kuhusu mabadiliko niliyokuja kuyaona miaka michache baada ya ndoa but nachokumbuka mwanzo ama akini-ectia ama ni mabadiliko tu yalitokea ila alikuwa smart sana kwenye maamuzi na uelewa (sisemi kwamba sasa hivi hayupo smart) ila amenifanya nizidi kuishi nae kwa akili sana.

Nachoweza kusema na kwa experience yangu ndani ya ndoa miaka 8 sasa ni kwamba kadiri mnavyoongeza familia ndivyo na tabia za mkeo zinavyoanza kubadilika,(haijalishi ni understanding au non-understanding)hakuna siku atakutukana ila baadhi ya huduma ulizokuwa ukipewa zamani bila kuuliza itakubidi wewe mwenyewe uanze kujifanyia na wala usithubutu kuuliza omba uwe na hekima ya kujua mapema maana ya mabadiliko hayo lah hukujua utaitumbukiza ndoa kwenye vurugu,personally miaka ya mwanzo akinitengea maji ya kuoga,kuninyooshea nguo,kunipakulia chakula nikirudi home anapokea kama mkononi nina kimfuko au bag atakuja kupokea ila baada ya kupata mtoto wa kwanza hiyo ya kuwekewa maji ya kuoga na kuandaliwa nguo zilikufa nikabaki na favor mbili,kupokewa mzigo mwenyewe nilikataa nikaona kama utumwa sasa tuna watoto wawili hii ya kupakuliwa chakula muda wowote naona itakufa.

Obviously malalamiko mengi ya wanaume kwenye ndoa hutokana na huduma fulani kukatwa ghafla na majibu yasiyotegemewa kutoka kwa wake zao pale wanapouliza sababu,nilichogundua;anakuwa busy zaidi na watoto so hawezi kuacha kumlisha mtoto akakuandalie wewe maji ya kuoga,hawezi kuacha kumnyonyesha mtoto au kumuandaa mtoto awahi school bus akakunyooshee nguo also hawezi kuacha kumuogesha mtoto akakupakulie chakula mezani sasa ukiwa macho juu juu utataka kuhoji “inakuwaje zamani ukifanya hiki na hiki mbona sasa hivi hunifanyii” jibu utakalopewa hapo ndo litakaloamua hatma ya ndoa yenu,binafsi nachoshukuru niliweza ku-match na mabadiliko haya mapema na nachowashauri mnaotaka kuingia kwenye ndoa jueni mke siyo kwa ajili ya kukuhudumia wewe kwa kila kitu wanaopaswa kuhudumiwa kwa kila kitu na yeye wewe pia ukishiriki ni watoto wenu mtakaowazaa.

Well.....vurugu zipo na ieleweke tukubali au tukatae wanawake % kubwa wanafanana akili awe amesoma au hakusoma hakuna mwanamke anayekataa au anayekubali kosa kizembe,ni “kuishi nao kwa akili tu” ukiijua sentence hii na ukakubali ikuongoze kwenye arguments na mkeo ndoa utaiona tamu tofauti na hapo ni pigo.
Kunywa soda nakuja kulipa
 
Mke wangu yuko kundi la kwanza ila ana mambo flan flan ambayo nnajitahd kuyapuuza sababu siku nikiyafuatilia kiundani nadhani itatakiwa niwe nishapata mbadala wake.
Tatizo na nyie mnajikuta hamkosei
 
Hahahahah you have yourself a patner and a friend for life! Mwanamke ambaye yuko flexible namna hio ni lulu...Hamuwezi kuchokana haraka maana yuko responsive sana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wish you best of luck mzee hasa kama hatobadilika akipata watoto.

Kuna wanawake wako serious kama wazazi. Yani anakuwa sio patner anakuwa kama mzazi kwako. Hao ndo huua ile excitement maana hamna session za utani na kufurahishana. Mda wote muongelee mipango tu yani hapendi utani kabisa...so boring!
Unakua kama umeoa mamako mzazi
 
Mke wangu kundi la pili.
Hawezi kukiri kosa hata kama sababu zipo wazi kama kakosea. Kuomba msamaha sikumbuki ni mwaka gani na anachotaka yeye ukimshauri kinyume chake fahamu mada itabadilika na utaonekana mkosaji. Kususa na kuchukia jambo dogo tu ni kawaida saaana. Ila nikimwambia ntakuacha atalia huyo hadi umuonee huruma hahahaha.
Binafsi kuna baadhi ya mambo yupo sawa sana na huwa sioni taabu ya vitabia vyake.
Ila ndio vile nshamzoea na maisha yanasonga.
Hahaa kuachwa tunaogopa
 
Huyu wife to be ni namba moja ila sasa kuna muda anakuwa na elements za namba mbili ili tu penzi liwe "dramatic"
Kwa hiyo cha muhimu ni kuishi nao kwa akili maana mwanzoni mambo huwa motomoto ila baadae inakuwa tafrani kutokana na kuwepo kwenye comfort zone na kujisahau mambo yalikuwa vipi mwanzoni. Ukiingia kichwa kichwa na kuanza kulaumu bila kutumia busara hapo ndipo vita vinaanza. Na nilichojifunza ni kuwa ukileta pigo za kutaka kukomoana ni sawa na kuwa mwanamke ndani ya nyumba badala ya kuwa mwanaume na kutumia hekima na busara kama kiongozi.
 
Unakua kama umeoa mamako mzazi
Acha kabisa yani, its really boring aisee!

We all need that adrenaline rush at times ila cheerful moments ndio zinaleta more excitement katika mahusiano. Una patner sometimes akiwa katulia unamkonyeza tu na kusmile, unataka umshike kiuno umnong'oneze kitu mara mnapiga selfie. Unataka umtekenye astuke umvute umkiss alimradi fujo tu. Mnakuwa fully free with eachother.

ila hamna kitu kinaboa kama mtu kufanya kitu ukapata response ya povu. Yani patner wako unaogopa ku act crazy infront of him/her sababu unahisi anaweza kukutolea povu tu.

"Lione mtu unakuwa kama litoto lidogo argh!"....."Si ukae kwa kutulia aisee".….. "We nini lakini, si utulie bana"

Aina hii ya majibu sucks my motherfucking balls!!! Intention ilikuwa kutengeneza amazing moment ila ukiwa na patner kama mzazi wako ndio madhara yake. Lazima
 
Hahahahah you have yourself a patner and a friend for life! Mwanamke ambaye yuko flexible namna hio ni lulu...Hamuwezi kuchokana haraka maana yuko responsive sana.🤣🤣🤣🤣 wish you best of luck mzee hasa kama hatobadilika akipata watoto.

Kuna wanawake wako serious kama wazazi. Yani anakuwa sio patner anakuwa kama mzazi kwako. Hao ndo huua ile excitement maana hamna session za utani na kufurahishana. Mda wote muongelee mipango tu yani hapendi utani kabisa...so boring!
Huyo atakuwa katokea zile familia ambazo wanaona wanapoteza muda kizembe bila kufanya maendeleo 😂😂😂
 
Back
Top Bottom