Luv
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 2,739
- 6,099
Dah jamani hizi Mambo ....Acha kabisa yani, its really boring aisee!
We all need that adrenaline rush at times ila cheerful moments ndio zinaleta more excitement katika mahusiano. Una patner sometimes akiwa katulia unamkonyeza tu na kusmile, unataka umshike kiuno umnong'oneze kitu mara mnapiga selfie. Unataka umtekenye astuke umvute umkiss alimradi fujo tu. Mnakuwa fully free with eachother.
ila hamna kitu kinaboa kama mtu kufanya kitu ukapata response ya povu. Yani patner wako unaogopa ku act crazy infront of him/her sababu unahisi anaweza kukutolea povu tu.
"Lione mtu unakuwa kama litoto lidogo argh!"....."Si ukae kwa kutulia aisee".….. "We nini lakini, si utulie bana"
Aina hii ya majibu sucks my motherfucking balls!!! Intention ilikuwa kutengeneza amazing moment ila ukiwa na patner kama mzazi wako ndio madhara yake. Lazima
Mtu unaanza kujiuliza kwa hiyo kwenye hii ndoa ndio sitafurahia mahaba!?
Hivi unajua Kuna wanaume baadhi mpo hivyo, na kabla mnakuwa romantic kabisa Ila baadae mnaanza Mambo hadi unajiuliza ni yeye au pacha wake?????
Inaboaa aiseeee natamani kuongeza sauti