Mkewe Rais wa Burundi aletwa Kenya kutibiwa Corona

Mkewe Rais wa Burundi aletwa Kenya kutibiwa Corona

Si ameamua mwenyewe ?huku wagonjwa karibu wote wanakaribia kupona.
Huo uamuzi wake uko na sababu sio bure. Mbali na wagonjwa kupona, huko tuliambiwa hata maambukizi hakuna. Hongera kwa Tanzania kuwa nchi ya kwanza dunia mzima kutokomeza gonjwa la korona baada ya maambukizi!. 🤣🤣
 
The best hospital ni Aga khan?
Na Tz hakuna Aga Khan?
Kando na Aga khan ambayo ni ya mabeberu jinsi mnavyosema kila uchao, ni hospitali ipi iliyopo? Na wanaofanya kazi kule asilimia kubwa ni kina nani?
 
Kwanini Mrs nkuruzinza hamkumpeleka govt hospital?
Hili swali halina mashiko. Mwanzo jiulize mbona hakuja Tz. Kisha hospitali iliyoko nchi fulani wafanyikazi asilimia kubwa ni wananchi wa hapo. Aga khan pia ina tawi pale kisumu ila hakuenda humo. Utaalamu wa wafanyikazi ndio chanzo cha chaguo fulani.
 
Nchi ya kibepari tunajali pesa, msije kwa njaa zenu kutuambukiza corona na umaskini wenu.

Njaa mnayo nyie ndio maana mnapokea tu mgonjwa positive kwa kuwa kaletwa na ndege. Ni nchi corrupt tu zinaweza kufanya hivyo kwa usawa huu wa covid.
 
Shahada ya uuguzi ya Tz haitambuliwi popote ila Tz pekee. Iwapo unayatilia shaka haya, nenda kamuulize muuguzi yeyote. Iweje sasa muwe bora?
Wewe nani kakuambia Watanzania wengi madactari wameajiriwa kwenye nchi za kusini mwa afrika kama Botswana. Elimu ya Kenya ndo haina ishu.
 
Kando na Aga khan ambayo ni ya mabeberu jinsi mnavyosema kila uchao, ni hospitali ipi iliyopo? Na wanaofanya kazi kule asilimia kubwa ni kina nani?
Aga khan ipo pia Tanzania lakini sio best hospital kuliko yote ingawa pia wako vizuri.
 
Nisiyoyajua kivipi wakenya bwana msishindane na tz kwa sababu mko ovyo sana.
Ubishi hausaidii haswa na mbumbumbu kama wewe. Wajua ratiba ya udaktari ni moja na yafuatwa East Africa kote? Bila shaka huna habari. Mwishowe ni nchi iliyo na trainers wazuri ndio itatoa madaktari wazuri. Na ratiba hio ilitoka Uganda ambao pia wamezembea.
 
Back
Top Bottom