Mkewe Rais wa Burundi aletwa Kenya kutibiwa Corona

Mkewe Rais wa Burundi aletwa Kenya kutibiwa Corona

Kenya ni nchi iliyopiga hatua kubwa Sana kwenye sector ya afya, haina mpinzani kusini mwa Jangwa la Sahara.
Kusini mwa jangwa la sahara??? Umeandika ukiwa utimamu wa akili? Yaani Kenya inaizidi SOUTH AFRICA NA NIGERIA?
 
Lakini mbona hata Burundi kuna hospitality nzuri sana za serikali sasa kuna umuhimu gani wa kumsafirisha huyo mgore wa Nkrunzinza kwenda Kenya
 
Kenya yazidi kuwahudumia wagonjwa wa corona Afrika mashariki na kati

20200601_110914.jpg
 
Nigeria iko kusini mwa Sahara?
List of Sub-Saharan African Countries
Angola
Benin
Botswana
Burkina Faso
Burundi
Cameroon
Cape Verde
Central African Republic
Chad
Comoros
Congo (Brazzaville)
Congo (Democratic Republic)
Côte d'Ivoire
Djibouti
Equatorial Guinea
Eritrea
Ethiopia
Gabon
The Gambia
Ghana
Guinea
Guinea-Bissau
Kenya
Lesotho
Liberia
Madagascar
Malawi
Mali
Mauritania
Mauritius
Mozambique
Namibia
Niger
Nigeria
Réunion
Rwanda
Sao Tome and Principe
Senegal
Seychelles
Sierra Leone
Somalia
South Africa
Sudan
Swaziland
Tanzania
Togo
Uganda
Western Sahara
Zambia
Zimbabwe

imgres.jpg
 
List of Sub-Saharan African Countries
Angola
Benin
Botswana
Burkina Faso
Burundi
Cameroon
Cape Verde
Central African Republic
Chad
Comoros
Congo (Brazzaville)
Congo (Democratic Republic)
Côte d'Ivoire
Djibouti
Equatorial Guinea
Eritrea
Ethiopia
Gabon
The Gambia
Ghana
Guinea
Guinea-Bissau
Kenya
Lesotho
Liberia
Madagascar
Malawi
Mali
Mauritania
Mauritius
Mozambique
Namibia
Niger
Nigeria
Réunion
Rwanda
Sao Tome and Principe
Senegal
Seychelles
Sierra Leone
Somalia
South Africa
Sudan
Swaziland
Tanzania
Togo
Uganda
Western Sahara
Zambia
Zimbabwe

View attachment 1465477
Kha..!!,mbona Kama nchi zote ziko kusini mwa Sahara?,hii terminology haikupaswa kutumika,iko meaningless
 
I can't waste my time on such trash media

Endeleeni kuponda media wakati zinatahadharisha, haya leo mdogo wenu Nkuruziza kapiga chini, alikua mkaidi hataki kuskliza mambo ya corona, aliamua kuwaiga nyie watu kwa huo utopolo wenu wa kukaidi, mkewe tunamuuguza huku nafuu yake kawahi Kenya mapema.
 
acha kujigamba ujinga wewe,huyo mkewe asipopona utatueleza nini!!!!??

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Endeleeni kuponda media wakati zinatahadharisha, haya leo mdogo wenu Nkuruziza kapiga chini, alikua mkaidi hataki kuskliza mambo ya corona, aliamua kuwaiga nyie watu kwa huo utopolo wenu wa kukaidi, mkewe tunamuuguza huku nafuu yake kawahi Kenya mapema.
Halafu we usidhani mi ni kilaza kama wewe..nipe official statement kuwa nkuruzinza kafa kwa corona..

Usituletee habari za media uchwara ntv
 
Halafu we usidhani mi ni kilaza kama wewe..nipe official statement kuwa nkuruzinza kafa kwa corona..

Usituletee habari za media uchwara ntv

Rais na mapesa yake yote kalambwa na kirusi, halafu kajamba wa Tandale na umaskini wote atunishe misuli akiimba mapambio....
 
Rais na mapesa yake yote kalambwa na kirusi, halafu kajamba wa Tandale na umaskini wote atunishe misuli akiimba mapambio....
Huna hoja wewe,it seems kichwa chako kimejazwa kamasi tu..

Huku tandale tangu corona ianze,hakuna mtu anayejali kwa lolote na wanaume bado tunadunda tu
 
Huna hoja wewe,it seems kichwa chako kimejazwa kamasi tu..

Huku tandale tangu corona ianze,hakuna mtu anayejali kwa lolote na wanaume bado tunadunda tu

Endeleeni na ukaidi wenu, rais mzima na mahela yake kalazwa na kirusi.....
 
Back
Top Bottom