EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Kusini mwa jangwa la sahara??? Umeandika ukiwa utimamu wa akili? Yaani Kenya inaizidi SOUTH AFRICA NA NIGERIA?Kenya ni nchi iliyopiga hatua kubwa Sana kwenye sector ya afya, haina mpinzani kusini mwa Jangwa la Sahara.